Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Lindeni kura za serikali za mitaaa kama hizo za TLS, la sivyo mnatwanga maji kwenye kinu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamekuwa hayo? Nani ulitegemea awe na impact?atakua na impact yeyote ya maana ?
Kamtelekeza mkuu, akaweka ndoa ya bomani na huyo Miss Tanzania wa zamani.Vipi kamtelekeza mkewe?Hebu tiririka jamani.
Huyo Nkuba katoa wapi kura zote hizo 800!?Matokeo Rasmi
Boniface Mwabukusi - 1274
Sweetheart Nkuba - 807
Bendera- 58
Kaunda - 51
Muga 18
Kuuli-7
Hiyo ni kamili kwa angle yangu mkuu. Labda useme unataka zaidi.Leta habar kamili mkuu
Kura zenu hazimuumizi Samia kichwa, jopo la watu fulani wanaamua nani awe Rais na kwa kura ngapiHaki imeshinda, huu umoja unaopigwa Twitter ndio maana Serikali iko na hofu nao, uchaguzi wa 2025 utakuwa wa namna yake...
Unajuaje kama atagombea hiyo 2025 😊Kura zenu hazimuumizi Samia kichwa, jopo la watu fulani wanaamua nani awe Rais na kwa kura ngapi
Kama mambo yasipoharibika sana ndani ya CCM, samia kamala hassan awe mgombea.Unajuaje kama atagombea hiyo 2025 😊
Yaani ccm imepigwa kwa zaidi ya kura 400!Saa 5 na dakika 15 usiku hapa mjini Dodoma mshindi wa urais anatangazwa :
RASMI BONIFACE K. Mwabukusi NI RAIS TLS :
Boniface Mwabukusi kura 1,274
Sweetbert Nkuba kura 851
Pigeni hela wananguSs na wale walioletwa na ndege kutoka kizimkazi kuja kupiga kura itakuwaje SS 😂
Nkuba kafanya mafekeche 🤣🤣Huyo Nkuba katoa wapi kura zote hizo 800!?
Au ndio makwibo yenyewe ya fisi.....emu na hazikutosha?
hatari sanaHivi mtatiro Huwa ana akili sawa..
Yaani yeye Kaona ajitungie Ushindi wake kujiridhisha 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3060015