Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ndo changamoto inayofataHongera zake. Ila ana kazi kubwa sana ya ku manage expectations.
Mandela,Mahatma Gandhi,Obama hawa wote walitumia sheria mpaka mwishowe wakaleta matumaini kwenye jamii zao!!! Kwahyo Mwambukusi ni lazima stumble kisiasa kwa ajili ya Taifa hili✊🏿✊🏿Asitumike kisiasa tu...
Hii ni Reflection kuwa Uhuru na Ufairness kidogo tu Ccm chali.Jumla ya kura: 2218
Kura zilizoharikika: 3
1. Boniface Mwabukusi - 1274
2. Sweetbert Nkuba - 807
3. Kapteni Ibrahim Bendera - 58
4. Paul Kaunda - 51
5. Emmanuel Muga - 18
6. Revocatus Kuuli - 7
Kupigania haki yako wanakuita unapiga fujo. Mhaini Mwabukusi alishinda mahakamani ameshinda na UraisSisi wapenda fujo tunamtaka Mwabukusi
Lazima hawezi kufikisha kura zote hizo. Alitakiwa aishie hamsini kama wenzieNkuba kafanya mafekeche 🤣🤣
Itakuwa ana-masturbet/ anajirifhidha mwenyewe aka kupiga puli huyuHivi mtatiro Huwa ana akili sawa..
Yaani yeye Kaona ajitungie Ushindi wake kujiridhisha 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3060015
Mbona simple kwanza tunakwenda kuliamsha dude sorting. Wamasai wa loliondo walihamishwa kinyume na haki za binaadamu na katiba. Tunaanzia hapoHongera zake. Ila ana kazi kubwa sana ya ku manage expectations.
CCM huwa wana waandaa watu kisaikolojia halafu wanasikilizia, mkikaa kimya wanawapeleka huko huko. Sasa mlitegemea kweli afanye tofauti? Ange amka na matokeo mengine ya uteuzi wa mkuu wa wilaya.Hivi mtatiro Huwa ana akili sawa..
Yaani yeye Kaona ajitungie Ushindi wake kujiridhisha 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3060015
Hahaha... atapata tu kwa jinsi anavyozishona hoja.Huyu jamaa huwa ana amsha amsha kinyama. Sijajua kama atapata ushirikiano kwa Rais mwenzake.