Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Matokeo Rasmi

Boniface Mwabukusi - 1274
Sweetheart Nkuba - 807
Bendera- 58
Kaunda - 51
Muga 18
Kuuli-7
Kura yangu ilikuwa kwa Kuuli, kura yangu imehesabiwa, hawezi kusema kwamba Uchaguzi haukuwa free and fair. Vivyo hivyo 2020 nilimpigia Magufuli, hawezi kusema aliiba kura, kura yangu ni hiyo.
 
Kama nchi Tunaanza kukataa ujinga
Mwanzo mzuri next ni general election
 
hii ndo changamoto inayofata
Kwa nini unafikiri ni changamoto wakati ni wajibu wake? Wewe ndio unaona changamoto sababu kinywa na matendo havijazoeya kutenda ya haki. Kula chakula hakujawahi kuwa changamoto kwa binadamu au kiumbe hai yoyote, labda wawe wagonjwa
 
Sasa nimeamini intelijensia ya Tanzania inafanya kazi.

Apige kelele zake sasa. Kafungwa mdomo bila kuambiwa nyamaza.
Naona umeumia sana kuona Mwabukusi ameshinda. Na sasa umeamua kujifariji kimtindo kwa blah blah. Pole sana, yajayo yanafurahisha zaidi, jiandae kuumia zaidi. Huku Mwabukusi kule MOSAD, mwaka mtamu huu!
 
Asitumike kisiasa tu...
Mwabukusi ni mwanasiasa kwa 100%.
Kwanini asitumike kisiasa wakati kuchaguliwa kwake kumepitia misukosuko na harakati zote za kisiasa?
Ni wapi siasa unaweza ukaitengenisha na maisha ya kila siku?
 
Kwa hiyo kumbe OUT nayo inatoa graduate wazuri au Mwabukusi ni mtu wa kipekee tu? Nimesikia mara nyingi kuwa digrii za OUT ni kama certificate za ASCEE tu.
Sheria kila anayehitaji kuwa wakili lazima apite Law School kwahio mawakili hawapimwi kwa vyuo walivyosoma, muhimu ni kufaulu pale Law School.

Nakushauri usiishi kwa kusikia kwasababu binadamu wanapotosha, siku ukienda kusoma sheria OUT utaiva kuliko hata yule wa chuo unachokiamini.

Inawezekana hata huyo wakili wako unayemtegemea alisoma OUT ila huwezi kulijua kama hajakuambia.
 
Tunajua jinsi uchaguzi wa rais wa TLS ulivyogubikwa na siasa za vyama e.g. CCM vs CDM. Wakili Mwambukusi alifanyiwa michezo michafu na mnakumbuka kuwa alienguliwa kinyemela na mahakama katika kinyang’anyiro cha uchaguzi lakini hata hivyo alirudishwa baadaye.

Kwenye TLS mawakili wengi ni vijana wasomi wenye mrengo wa CDM. Kwa kuwa mazingira ya kupiga kura yanasimamiwa na mawakili hao imekuwa vigumu kwa CCM kufanikiwa. Lakini upenzi wa watu kwa CHADEMA umeonekana wazi na hii ni dadili nzuri kwa CHADEMA.

CCM hufanikiwa sana kwasababu ya unyonge na ujinga wa watu, ukiondoa hayo CCM haitashinda uchaguzi wowote!
 
imekuwaje mawakili wasomi watatu wakaharibu kura, hii nimeshangaaa, ila hongera zake Mwabukusi jamaa ni mpambanaji.
 
Hivi vyama vya wanataaluma kama TLS, CWT, TPHA, IEET nk vimepoteza kabisa maana ya kuwepo kwake baada ya kupokwa na wanasiasa.

Nilitegemea tls ingekuwa very independent na kujikita kwenye kutetea maslahi ya mawakili nchini badala yake wanabeba agenda za wanasiasa. Upuuzi kabisa
 
Hongereni CDM kwa kushinda uraisi wa TLS ila hiyo haina msaada wowote kwenye siasa zenu msijidanganye kwamba Mwabukusi atakuwa msaada kwenu.
 
Kwa zile shangwe, makofi Kwa Mwabukusi.

Labda Dola iingilie Kati na jambo ambalo litakua ni la kijinga.

Nadhan MFUMO ujifunze kuwakumbatia watu wenye Uwezo mkubwa wa IQ ili Watusaidie.

Watu aina ya Mwabukusi, Lissu, Mpina, ni watu wa Haki Sanaa, watu wa Mungu...wanapopata nafasi yoyote, wanachowaza ni Maendeleo ya Taifa.
SISI NI LOSER SIKU ZOTE KWA SABABU MOJA TU,WENYE AKILI SIKU ZOTE HAWAJIPENDEKEZI SO UTAKUTA WAPO NJE YA MFUMO SASA NADHANI TUTAONA MABADILIKO MAKUBWA SANA UKIZINGATIA KADA YA SHERIA INABEBA ASILIMIA KUBWA KWENYE MAENDELEO
 
Sheria kila anayehitaji kuwa wakili lazima apite Law School kwahio mawakili hawapimwi kwa vyuo walivyosoma, muhimu ni kufaulu pale Law School.

Nakushauri usiishi kwa kusikia kwasababu binadamu wanapotosha, siku ukienda kusoma sheria OUT utaiva kuliko hata yule wa chuo unachokiamini.

Inawezekana hata huyo wakili wako unayemtegemea alisoma OUT ila huwezi kulijua kama hajakuambia.

Umeandika kishabiki sana inawezekana wewe ni recipient mojawapo wa ACSEE za OUT ila wakili Mwabukusi yeye alikwenda extra mile kuruka hızo ASCEE na kupata LLB iliyoiva.

Huelewi role ya Law School katika kuandaa mawakili, na vile vile hajui umuhimu wa LLB katika kupima ubora wa wakili. Ingekuwa kumaliza Law School ndiyo kigezo tu basi mawakili wote wangekuwa na ubora Sawa.
 
Back
Top Bottom