Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
hilo li Nkuba ni jizi la kura.Lazima hawezi kufikisha kura zote hizo. Alitakiwa aishie hamsini kama wenzie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo li Nkuba ni jizi la kura.Lazima hawezi kufikisha kura zote hizo. Alitakiwa aishie hamsini kama wenzie
SahihiLindeni kura za serikali za mitaaa kama hizo za TLS, la sivyo mnatwanga maji kwenye kinu.
Ni Mwambuzi 😎Ni MWABUKUSI OR MWAMBUKUSI?
Kura yangu ilikuwa kwa Kuuli, kura yangu imehesabiwa, hawezi kusema kwamba Uchaguzi haukuwa free and fair. Vivyo hivyo 2020 nilimpigia Magufuli, hawezi kusema aliiba kura, kura yangu ni hiyo.Matokeo Rasmi
Boniface Mwabukusi - 1274
Sweetheart Nkuba - 807
Bendera- 58
Kaunda - 51
Muga 18
Kuuli-7
Kwa nini unafikiri ni changamoto wakati ni wajibu wake? Wewe ndio unaona changamoto sababu kinywa na matendo havijazoeya kutenda ya haki. Kula chakula hakujawahi kuwa changamoto kwa binadamu au kiumbe hai yoyote, labda wawe wagonjwahii ndo changamoto inayofata
Naona umeumia sana kuona Mwabukusi ameshinda. Na sasa umeamua kujifariji kimtindo kwa blah blah. Pole sana, yajayo yanafurahisha zaidi, jiandae kuumia zaidi. Huku Mwabukusi kule MOSAD, mwaka mtamu huu!Sasa nimeamini intelijensia ya Tanzania inafanya kazi.
Apige kelele zake sasa. Kafungwa mdomo bila kuambiwa nyamaza.
Mwabukusi ni mwanasiasa kwa 100%.Asitumike kisiasa tu...
Yani nilijua tu, kwa jinsi nilivyolala mapema lazima nitamkuta cha fujo ameshavuruga huko, Wallah!Hiyo ni kamili kwa angle yangu mkuu. Labda useme unataka zaidi.
Ova
Sheria kila anayehitaji kuwa wakili lazima apite Law School kwahio mawakili hawapimwi kwa vyuo walivyosoma, muhimu ni kufaulu pale Law School.Kwa hiyo kumbe OUT nayo inatoa graduate wazuri au Mwabukusi ni mtu wa kipekee tu? Nimesikia mara nyingi kuwa digrii za OUT ni kama certificate za ASCEE tu.
imekuwaje mawakili wasomi watatu wakaharibu kura, hii nimeshangaaa, ila hongera zake Mwabukusi jamaa ni mpambanaji.Tunajua jinsi uchaguzi wa rais wa TLS ulivyogubikwa na siasa za vyama e.g. CCM vs CDM. Wakili Mwambukusi alifanyiwa michezo michafu na mnakumbuka kuwa alienguliwa kinyemela na mahakama katika kinyang’anyiro cha uchaguzi lakini hata hivyo alirudishwa baadaye.
Kwenye TLS mawakili wengi ni vijana wasomi wenye mrengo wa CDM. Kwa kuwa mazingira ya kupiga kura yanasimamiwa na mawakili hao imekuwa vigumu kwa CCM kufanikiwa. Lakini upenzi wa watu kwa CHADEMA umeonekana wazi na hii ni dadili nzuri kwa CHADEMA.
CCM hufanikiwa sana kwasababu ya unyonge na ujinga wa watu, ukiondoa hayo CCM haitashinda uchaguzi wowote!
We Bibi tulia, tutolee uchawa wakoSasa nimeamini intelijensia ya Tanzania inafanya kazi.
Apige kelele zake sasa. Kafungwa mdomo bila kuambiwa nyamaza.
SISI NI LOSER SIKU ZOTE KWA SABABU MOJA TU,WENYE AKILI SIKU ZOTE HAWAJIPENDEKEZI SO UTAKUTA WAPO NJE YA MFUMO SASA NADHANI TUTAONA MABADILIKO MAKUBWA SANA UKIZINGATIA KADA YA SHERIA INABEBA ASILIMIA KUBWA KWENYE MAENDELEOKwa zile shangwe, makofi Kwa Mwabukusi.
Labda Dola iingilie Kati na jambo ambalo litakua ni la kijinga.
Nadhan MFUMO ujifunze kuwakumbatia watu wenye Uwezo mkubwa wa IQ ili Watusaidie.
Watu aina ya Mwabukusi, Lissu, Mpina, ni watu wa Haki Sanaa, watu wa Mungu...wanapopata nafasi yoyote, wanachowaza ni Maendeleo ya Taifa.
Sheria kila anayehitaji kuwa wakili lazima apite Law School kwahio mawakili hawapimwi kwa vyuo walivyosoma, muhimu ni kufaulu pale Law School.
Nakushauri usiishi kwa kusikia kwasababu binadamu wanapotosha, siku ukienda kusoma sheria OUT utaiva kuliko hata yule wa chuo unachokiamini.
Inawezekana hata huyo wakili wako unayemtegemea alisoma OUT ila huwezi kulijua kama hajakuambia.