Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Anayepiga kura ni mwanachama na anakaguliwa anapoingia ukumbini,mzanzibar asiye mwanachama atapigaje? Yamkini ni wanachama

Fatuma karume ni mzanzibar lakini amewahi kuwa Rais wa TLS
Dah! Afadhali na ahsante kwa ufafanuzi mzuri. Yaani kwakuwa Fatima Karume alikuwa wao hawakuuona Uzanzibari wake hadi akawa Rais wao! Ahahahahaha! Leo eti wanalalamika Wazanzibari! Ahahahahaha!!!
 
Kuna mambo unajitahidi kutaka kuelewa lengo lake lilikuwa nini lakini unashindwa kabisa kuelewa,hivi Nyerere alikusudia nini hadi kuiingiza Tanganyika kwenye muungano na Zanzibar! Angalia leo tunavyoadhilika kwa kupelekeshwa na hawa waarabu koko! Na bado wenyewe eti tunawaita ndugu zetu wa damu!
 
Dah! Afadhali na ahsante kwa ufafanuzi mzuri. Yaani kwakuwa Fatima Karume alikuwa wao hawakuuona Uzanzibari wake hadi akawa Rais wao! Ahahahahaha! Leo eti wanalalamika Wazanzibari! Ahahahahaha!!!

Siyo kweli kuwa Wazanzibar hawaruhusiwi kusajiliwa. Tatizo ni kwamba Mawakili wanaotolewa Zanzibar ni Mawakili wa serikali ambao kisheria hawaqualify kuwa Mawakili au Wanachama halali wa TLS.
 
Siyo kweli kuwa Wazanzibar hawaruhusiwi kusajiliwa. Tatizo ni kwamba Mawakili wanaotolewa Zanzibar ni Mawakili wa serikali ambao kisheria hawaqualify kuwa Mawakili au Wanachama halali wa TLS.
Duh! Halafu wanaruhusiwa na nani kupiga kura? Na kama wanaruhusiwa unafikiri nani dhaifu? Serikali, TLS au Mawakili wenyewe ambao ni wanachama wa TLS?
 
Hii nchi ishakua na vyama vya siasa vingi sana mazee, hiki chama kipya sijawahi kukiskia kwenye uchaguzi ambao hua anashiriki Spunda🤣
 
Back
Top Bottom