Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Wakuu,

UPDATE saa Saba Mchana: TLS waomba radhi kupitia ukurasa wao wa X baada ya kupost kuwa zoezi la upigaji kura limeisha wakati mawakili wakiwa wanasubiri karatasi za kupigia kura ziongezwe.

Kusoma zaidi kuhusu taarifa hii soma hapa: TLS waomba radhi kwa post yao waliyoweka mtandao wa X kuhusu zoezi la kupiga Uchaguzi wa Rais TLS kumalizika

======

UPDATE saa 12:17 PM: Ukurasa wa X wa TLS wamepost kuwa uchaguzi umeisha, lakini upande mwingine taarifa ni kuwa karatasi bado zinazubiriwa kuongezwa ili zoezi la kupiga kura liendelee kwa wale ambao bado hawajapiga kura.

Zaidi kuhusu taarifa hii soma hapa: Ukurasa wa TLS X umesema zoezi la kupiga kura limeisha, upande mwingine wanasema wanasubiri karatasi za kupiga kura ziongezwe, ukweli ni upi?

===

UPDATE majira ya saa tano asubuhi: Zoezi la kupiga kura limesimama baada ya karatasi kuisha, mawakili wanasubiri karatazi ziletwe ili zoezi liendelee.

Zaidi kuhusu hili soma hapa: Uchaguzi wa Rais TLS: Karatasi za kupigia kura zimeisha, mawakili wanasubiri karatasi nyingine ziletwe ili zoezi liendelee

====

Leo ndio leo, ni kivumbi na kijasho, hatma ya Urais TLS kugundulika leo.

Uchaguzi wa Rais wa TLS uliokuwa unasubiriwa kwa hamu, kufanyika leo Agosti 2, 2024. Je nani ataibuka mshindi kati ya wagombea hawa sita?


Kama ulikosa mdahalo wa wagombea hawa pita hapa Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024

1. Capt. Ibrahim Mbiu Bendera
2. Paul Revocatus Kaunda
3. Sweetbert Mkuba
4. Boniface Mwabukusi
5. Emmanuel Agustino Muga
6. Revocutus Lubigili Kibwe

Kwa kufatilia kwangu naona upinzani mkubwa upo kati ya
Sweetbert Mkuba na Boniface Mwabukusi.

Je, unadhani mshindi atatoka kati ya hawa wawili au tutapata mshangao wa kufunga mwaka kwa asiyetarajiwa kabisa kuibuka mshindi?

Usikae mbali na uzi huu kupata updates zote za yanayoendelea kwenye uchaguzi huu.
Kwa ninavyoona kura zingekuwa zinapigwa na sisi wananzengo, mwabukusi ilikuwa ni asubuhi mapemaa
 
Nilichoelewa wengi wenu ambao haamzidi hafa 300 hamjui chochote kuhusu TLS,
Historia yake kwa mikondo walau minne iliyopita. Uchaguzi na sifa zake.

TLS sio chama cha wakili, ni chama cha mawakili wote wasomi mnaowafahamu. Wote ni wamoja, huyu atamuita huyu, yule atamuita yule, hakuna siasa TLS, Kuna uchaguzi wakusimamia mawakili wenzako, ila tu kuna kuwa na tofauti ya mkakati katika kuexercise duties.

Nimeona wengi wanaochangia kwenye hili, wao wanafanya Vita na sio mawakili. Nivuke kwenda kwa shangazi yenu, she is hypocrite who is much to know, ila wakawaida sana.

Haswa watu wa twitter, yule dada ni kero kama hamjui, hana adabu, mfatilieni mtafahamu.
La mwisho, mtoa mada. Ingependeza taarifa yao ikae kaama original source si kutuletea taarifa za X au twitter. Mbona suala ni current sana.
 
Nilichoelewa wengi wenu ambao haamzidi hafa 300 hamjui chochote kuhusu TLS,
HISTORIA YAKE KWA MIKONDO WALAU MINNE ILIYOPITA.
UCHAGUZI NA SIFA ZAKE ZA UCHAGUZI.
Tls sio chama cha wakili, ni chama cha mawakili wote wasomi mnaowafahamu. Wote ni wamoja, huyu atamuita huyu, yule atamuita yule, Hakuna siasa TLS, Kuna uchaguzi wakusimamia mawakili wenzako, ila tu kuna kuwa na tofauti ya mkakati katika kuexercise duties.
Nimeona wengi wanaochangia kwenye hili, wao wanafanya Vita(na sio mawakili).
Nivuke kwenda kwa shangazi yenu, she is hypocrite who is much to know, ila wakawaida saaaaaana. Haswa watu wa twitter, yule dada ni kero kama hamjui, hana adabu, mfatilieni mtafahamu.
La mwisho, mtoa mada. Ingependeza taarifa yao ikae kaama original source si kutuletea taarifa za X au twitter. Mbona swala ni current sana.
Kama unawaelewa sana tueleze ni kwa nini washindwe kuandaa ipasavyo uchaguzi
 
Back
Top Bottom