Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshindi atapatikana saa nane na nusu usiku.Wakuu,
UPDATE saa Saba Mchana: TLS waomba radhi kupitia ukurasa wao wa X baada ya kupost kuwa zoezi la upigaji kura limeisha wakati mawakili wakiwa wanasubiri karatasi za kupigia kura ziongezwe.
Kusoma zaidi kuhusu taarifa hii soma hapa: TLS waomba radhi kwa post yao waliyoweka mtandao wa X kuhusu zoezi la kupiga Uchaguzi wa Rais TLS kumalizika
======
UPDATE saa 12:17 PM: Ukurasa wa X wa TLS wamepost kuwa uchaguzi umeisha, lakini upande mwingine taarifa ni kuwa karatasi bado zinazubiriwa kuongezwa ili zoezi la kupiga kura liendelee kwa wale ambao bado hawajapiga kura.
Zaidi kuhusu taarifa hii soma hapa: Ukurasa wa TLS X umesema zoezi la kupiga kura limeisha, upande mwingine wanasema wanasubiri karatasi za kupiga kura ziongezwe, ukweli ni upi?
===
UPDATE majira ya saa tano asubuhi: Zoezi la kupiga kura limesimama baada ya karatasi kuisha, mawakili wanasubiri karatazi ziletwe ili zoezi liendelee.
Zaidi kuhusu hili soma hapa: Uchaguzi wa Rais TLS: Karatasi za kupigia kura zimeisha, mawakili wanasubiri karatasi nyingine ziletwe ili zoezi liendelee
====
Leo ndio leo, ni kivumbi na kijasho, hatma ya Urais TLS kugundulika leo.
Uchaguzi wa Rais wa TLS uliokuwa unasubiriwa kwa hamu, kufanyika leo Agosti 2, 2024. Je nani ataibuka mshindi kati ya wagombea hawa sita?
Kama ulikosa mdahalo wa wagombea hawa pita hapa Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024
1. Capt. Ibrahim Mbiu Bendera
2. Paul Revocatus Kaunda
3. Sweetbert Mkuba
4. Boniface Mwabukusi
5. Emmanuel Agustino Muga
6. Revocutus Lubigili Kibwe
Kwa kufatilia kwangu naona upinzani mkubwa upo kati ya
Sweetbert Mkuba na Boniface Mwabukusi.
Je, unadhani mshindi atatoka kati ya hawa wawili au tutapata mshangao wa kufunga mwaka kwa asiyetarajiwa kabisa kuibuka mshindi?
Usikae mbali na uzi huu kupata updates zote za yanayoendelea kwenye uchaguzi huu.
Kwa lipipole sana Mabukusi
Kura zake zimeokotwa nje ya eneo la kupigiwa kura zimetupwa.Kwa lipi
YaleyaleKura zake zimeokotwa nje ya eneo la kupigiwa kura zimetupwa.
Bora makaratasi mna hesabu moja moja mkiwa mnaziona. Te ingewezekana kupanga mstari nyuma ya mgombea...kwenye digital votes wale jamaa wa kijani hawaaminiki kabisa.Watu wasomi kama mawakili wanutumia makaratasi kupiga kura hadi leo?
Kama ni hivyo watumie JF kupiga kuraBora makaratasi mna hesabu moja moja mkiwa mnaziona. Te ingewezekana kupanga mstari nyuma ya mgombea...kwenye digital votes wale jamaa wa kijani hawaaminiki kabisa.
Ni aibu sana mtu mzima kutekwa na vitoto ambavyo umekula chumvi kuvizidi. Mi kufikia mwezi wa kumi lazima niwe na glock23 sitanii, na mi na kuwa wasiojulikana slayer.17 ndo nzuri inaweka goroli 17 ukiwa unakunywa bia siku Kama ya leo siku ya bia Duniani unaiweka juu ya meza