Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Hatimaye kuna tetesi nimepenyezewa kwamba Bwana Mwabukusi pamoja na figisu alizofanyiwa amewashinda washindani wake

Mbinu walizotumia kumzuia japo ziligongamwamba
1. Walisema karatasi za kupigia kura asubuhi ziliisha, hivo uchaguzi ukasimama
2. Polis wakaingilia kati,
3. Wakati wa jion kuna kura zenye kupigiwa kwa MWABUKUSI zilikuwa zimetupwa


Hivi wewe ni mtu wa tetesi kweli? Wewe tunajua una habari za uhakika. Hakuna tetesi hapo
 
Mwabukusi oyeee mwabukusi oyeeee
20231014_121104.jpg
 
CWT jifunzeni sasa kupitia TLS

Hawa CWT wakipandishwa treni, tayari wanaipigia chapuo CCM

02 August 2024

SAFARI ya WALIMU 1000+ KWENYE TRENI ya UMEME DAR HADI MORO - WAMPA MAUA RAIS SAMIA...


View: https://m.youtube.com/watch?v=_JJdwfkqDjA
Katika kuunga mkono juhudi zilizofanywa na serikali inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan za ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR pamoja na kukuza utalii kupitia Royal Tour, Benki ya DCB imedhamini safari ya walimu zaidi ya 1000 kutumia treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro na kisha Mikumi ili kukuza utalii wa ndani na kujifunza
 
Back
Top Bottom