The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Anayepiga kura ni mwanachama na anakaguliwa anapoingia ukumbini,mzanzibar asiye mwanachama atapigaje? Yamkini ni wanachama
Fatuma karume ni mzanzibar lakini amewahi kuwa Rais wa TLS
Dah! Afadhali na ahsante kwa ufafanuzi mzuri. Yaani kwakuwa Fatima Karume alikuwa wao hawakuuona Uzanzibari wake hadi akawa Rais wao! Ahahahahaha! Leo eti wanalalamika Wazanzibari! Ahahahahaha!!!Anayepiga kura ni mwanachama na anakaguliwa anapoingia ukumbini,mzanzibar asiye mwanachama atapigaje? Yamkini ni wanachama
Fatuma karume ni mzanzibar lakini amewahi kuwa Rais wa TLS
Dah! Afadhali na ahsante kwa ufafanuzi mzuri. Yaani kwakuwa Fatima Karume alikuwa wao hawakuuona Uzanzibari wake hadi akawa Rais wao! Ahahahahaha! Leo eti wanalalamika Wazanzibari! Ahahahahaha!!!
Duh! Halafu wanaruhusiwa na nani kupiga kura? Na kama wanaruhusiwa unafikiri nani dhaifu? Serikali, TLS au Mawakili wenyewe ambao ni wanachama wa TLS?Siyo kweli kuwa Wazanzibar hawaruhusiwi kusajiliwa. Tatizo ni kwamba Mawakili wanaotolewa Zanzibar ni Mawakili wa serikali ambao kisheria hawaqualify kuwa Mawakili au Wanachama halali wa TLS.
Kama ni kweli hakika nguvu ya Mungu itukuzwe DaimaHatimaye matokeo ya TLS yametoka. Mwabukusi kaibuka Kidedea. Kumbe inawezekana ...... umma utaamua...!!?
Hata mimi ndiyo naona hilo jambo.Kwani Serikali iligombea vs Mwabukusi?
Tundu AML anasemaje?Duh
Kazi kweli kweli
Imekua taarifa rasmi?Maana isijetokea mtu akamuomba Mungu msamaha kwa utangazaji wa matokeo mbaya!Hatimaye matokeo ya TLS yametoka. Mwabukusi kaibuka Kidedea. Kumbe inawezekana ...... umma utaamua...!!?
Kwani Serikali iligombea vs Mwabukusi?