Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Nilitaka kuuliza swali linalofananaHawa jamaa si hujiita wasomi! Sasa msomi anaharibuje kura? 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kuuliza swali linalofananaHawa jamaa si hujiita wasomi! Sasa msomi anaharibuje kura? 🤣
Mwabukusi ni mwanasiasa kwa 100%.
Kwanini asitumike kisiasa wakati kuchaguliwa kwake kumepitia misukosuko na harakati zote za kisiasa?
Ni wapi siasa unaweza ukaitengenisha na maisha ya kila siku?
Si wanasema saiz itakuwa miaka 3,so hapo ni mpaka 2027natamn na uchaguz wa mwakn uwe kama huu
Sio kwamba Mwambukusi ataisaidia CDM, la hasha, ushindi wa Mwambukusi ambaye ni mrengo wa CDM ni ishara nzuri ya wananchi kujitambua na kukataa hila za CCM kama ambavyo wamefanya kwenye uchaguzi huu. Kazi ipo bado.Tunajua jinsi uchaguzi wa rais wa TLS ulivyogubikwa na siasa za vyama e.g. CCM vs CDM. Wakili Mwambukusi alifanyiwa michezo michafu na mnakumbuka kuwa alienguliwa kinyemela na mahakama katika kinyang’anyiro cha uchaguzi lakini hata hivyo alirudishwa baadaye.
Kwenye TLS mawakili wengi ni vijana wasomi wenye mrengo wa CDM. Kwa kuwa mazingira ya kupiga kura yanasimamiwa na mawakili hao imekuwa vigumu kwa CCM kufanikiwa. Lakini upenzi wa watu kwa CHADEMA umeonekana wazi na hii ni dadili nzuri kwa CHADEMA.
Nchi nzima watu wamebubujikwa macho ya furaha.Tunajua jinsi uchaguzi wa rais wa TLS ulivyogubikwa na siasa za vyama e.g. CCM vs CDM. Wakili Mwambukusi alifanyiwa michezo michafu na mnakumbuka kuwa alienguliwa kinyemela na mahakama katika kinyang’anyiro cha uchaguzi lakini hata hivyo alirudishwa baadaye.
Kwenye TLS mawakili wengi ni vijana wasomi wenye mrengo wa CDM. Kwa kuwa mazingira ya kupiga kura yanasimamiwa na mawakili hao imekuwa vigumu kwa CCM kufanikiwa. Lakini upenzi wa watu kwa CHADEMA umeonekana wazi na hii ni dadili nzuri kwa CHADEMA.
CCM hufanikiwa sana kwasababu ya unyonge na ujinga wa watu, ukiondoa hayo CCM haitashinda uchaguzi wowote!
Mwabukusi sio Tume ya UchaguziHongereni CDM kwa kushinda uraisi wa TLS ila hiyo haina msaada wowote kwenye siasa zenu msijidanganye kwamba Mwabukusi atakuwa msaada kwenu.
Muda utaamua mkuuKwa nini unafikiri ni changamoto wakati ni wajibu wake? Wewe ndio unaona changamoto sababu kinywa na matendo havijazoeya kutenda ya haki. Kula chakula hakujawahi kuwa changamoto kwa binadamu au kiumbe hai yoyote, labda wawe wagonjwa
TLS hakuna uhusiano na CHADEMA,Tunajua jinsi uchaguzi wa rais wa TLS ulivyogubikwa na siasa za vyama e.g. CCM vs CDM. Wakili Mwambukusi alifanyiwa michezo michafu na mnakumbuka kuwa alienguliwa kinyemela na mahakama katika kinyang’anyiro cha uchaguzi lakini hata hivyo alirudishwa baadaye.
Kwenye TLS mawakili wengi ni vijana wasomi wenye mrengo wa CDM. Kwa kuwa mazingira ya kupiga kura yanasimamiwa na mawakili hao imekuwa vigumu kwa CCM kufanikiwa. Lakini upenzi wa watu kwa CHADEMA umeonekana wazi na hii ni dadili nzuri kwa CHADEMA.
CCM hufanikiwa sana kwasababu ya unyonge na ujinga wa watu, ukiondoa hayo CCM haitashinda uchaguzi wowote!
Naona hoja imekuingia. Huna cha kujibu imebidi uanze kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.We Bibi tulia, tutolee uchawa wako
Upo tayari kuitoa madarakani CCM ili nchi izizime?Kumbe siku ccm ikitoka madarakani nchi itazizima kwa shangwe
Kiniumize nini? Hakuna impact yoyote huko kwangu wala kwa mwengine.Naona umeumia sana kuona Mwabukusi ameshinda. Na sasa umeamua kujifariji kimtindo kwa blah blah. Pole sana, yajayo yanafurahisha zaidi, jiandae kuumia zaidi. Huku Mwabukusi kule MOSAD, mwaka mtamu huu!
Hao watakuwa wale machawa walipoona hawana uwezo wa kubadili matokeo!Hawa jamaa si hujiita wasomi! Sasa msomi anaharibuje kura? 🤣