GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Status
Not open for further replies.

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Samia Suluhu kutoka CCM atangazwa kushinda kwa asilimia 97.66% ya kura 31,913,866

Kwa mujibu wa Tume, jumla ya wapiga kura walioandikishwa ni milioni 37,655,559; Waliopiga kura ni milioni 32,678,844

Anayemfuatia ni Salum Mwalimu wa CHAUMMA ambaye amepata kura 213,414 sawa na 0.65%

======

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 ngazi ya Urais Tanzania kama jinsi matukio yanavyotujia kutoka kwenu. Ukiwa na taarifa yoyote upande huu tafadhali usisite kuweka.

Wanaowania kinyang'anyiro hiki ni;
  1. Chama Cha Wananchi (CUF) - Gombo Samandito Gombo​

  2. NCCR-Mageuzi - Haji Ambar Khamis​

  3. CHAUMMA - Salum Mwalimu​

  4. Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Samia Suluhu Hassan​

  5. UDP - Saum Hussein Rashid​

  6. TLP - Yustas Mbatina Rwamugira​

  7. DP - Abdul Juma Mluya​

  8. ADA-TADEA - Georges Gabriel Bussungu​

  9. UMD - Mwajuma Noty Mirambo​

  10. UPDP - Twalib Ibrahim Kadege​

  11. NRA - Hassan Kisabya Almas​

  12. MAKINI - Coaster Jimmy Kibonde​

  13. NLD - Doyo Hassan Doyo​

  14. SAU - Majalio Paul Kyara​

  15. CCK - David Daud Mwaijojele​

  16. AAFP - Kunje Ngombare Mwiru​

  17. ADC - Wilson Elius Mulumbe​


Takwimu za wapiga Kura Uchaguzi Mkuu 2025​

TANZANIA BARA

1. ARUSHA


Idadi ya Wagombea Ubunge
  • Wanawake - 17
  • Wanaume - 30
Majimbo - 7

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 758,774
  • Wanawake - 762,134
2. DAR ES SALAAM

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 108
  • Wanaume - 91
Majimbo - 12

Idadi ya Wapiga Kura
  • Wanaume - 2,258,974
  • Wanawake - 2,161,938
3. DODOMA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 27
  • Wanaume - 40
Majimbo - 11

Idadi ya Wapiga Kura
  • Wanaume - 873,987
  • Wanawake - 873,017
4. GEITA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 0
  • Wanaume - 14
Majimbo - 9

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 768,227
  • Wanawake - 754,181
5. IRINGA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 5
  • Wanaume - 12
Majimbo - 7

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 378,519
  • Wanawake - 390,949
6. KAGERA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 1
  • Wanaume - 19
2. SIMIYU

Idadi ya Wagombea Ubunge
  • Wanawake - 7
  • Wanaume - 20
Majimbo - 8

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 519,782
  • Wanawake - 600,616
3. SINGIDA

Idadi ya Wagombea Ubunge
  • Wanawake - 16
  • Wanaume - 15
Majimbo - 8

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 527,863
  • Wanawake - 517,430
5. TABORA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 17
  • Wanaume - 40
Majimbo - 12

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 891,360
  • Wanawake - 907,928
6. TANGA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 14
  • Wanaume - 44
Majimbo - 12

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 806,121
  • Wanawake - 826,918
7. KATAVI
Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 2
  • Wanaume - 14
Majimbo - 5

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume -311,091
  • Wanawake - 302,294
8. KIGOMA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 14
  • Wanaume - 60
Majimbo - 8

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 610,811
  • Wanawake - 685,695
9. KILIMANJARO

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 20
  • Wanaume - 36
10. LINDI

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 2
  • Wanaume - 27
Majimbo - 8

Idadi ya Wpiga Kura

  • Wanaume - 416,282
  • Wanawake - 417, 582
​
11. MANYARA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 4
  • Wanaume - 13
Majimbo - 7

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 581,171
  • Wanawake - 523, 914
12. MARA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 13
  • Wanaume - 27
Majimbo - 10

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 660,162
  • Wanawake - 721, 949
13. MBEYA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 5
  • Wanaume - 29
Majimbo - 8

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 705,879
  • Wanawake - 721,802
14. MOROGORO

Idadi ya Wagombea Ubunge
  • Wanawake - 13
  • Wanaume - 30
Majimbo - 11

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 1,065,748
  • Wanawake - 1,048,304
15. MWANZA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 43
  • Wanaume - 46
Majimbo - 9

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 1,130,864
  • Wanawake - 1,137,409
16. MTWARA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 6
  • Wanaume - 33
Majimbo - 10

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 553,256
  • Wanawake - 599,008
17. NJOMBE

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 2
  • Wanaume - 10
Majimbo - 6

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 261,874
  • Wanawake - 292,940
18. PWANI

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 34
  • Wanaume - 40
Majimbo - 9

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 710,012
  • Wanawake - 703,737
19. RUKWA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 0
  • Wanaume - 9
Majimbo - 5

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 386,015
  • Wanawake - 405,481
20. RUVUMA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 8
  • Wanaume - 22
Majimbo - 9

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 581,968
  • Wanawake - 592,769
21. SIMIYU

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 7
  • Wanaume - 20
Majimbo - 8

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 519,782
  • Wanawake - 600,616
22. SINGIDA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 16
  • Wanaume - 15
Majimbo - 8

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 527,863
  • Wanawake - 517,430
23. SHINYANGA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 617,995
  • Wanaume - 626,871
Majimbo - 7

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 617,995
  • Wanawake - 626,871
24. SONGWE

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 3
  • Wanaume - 13
Majimbo - 6

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 365,992
  • Wanawake - 396,253
25. TABORA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 17
  • Wanaume - 40
Majimbo - 12

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 891,360
  • Wanawake - 907,928
ZANZIBAR

26. KASKAZINI PEMBA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 25
  • Wanaume - 82
Majimbo - 9

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 20,507
  • Wanawake - 22,259
27. KASKAZINI UNGUJA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 28
  • Wanaume - 65
Majimbo - 8

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 25,486
  • Wanawake - 20,016
28. KUSINI PEMBA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 26
  • Wanaume - 90
Majimbo - 9

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 16,468
  • Wanawake - 13,349
29. KUSINI UNGUJA

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 18
  • Wanaume - 41
Majimbo - 5

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 24,757
  • Wanawake - 16,405
30. MJINI MAGHARIBI

Idadi ya Wagombea Ubunge

  • Wanawake - 55
  • Wanaume - 143
Majimbo - 7

Idadi ya Wapiga Kura

  • Wanaume - 581,171
  • Wanawake - 523,914
Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi Tanzania soma > GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
samia_suluhu_hassan_ca131f81cb5e4519bbc651d0f5a6ee92.jpg
 
Ni wazi hawa jamaa hawana mpango kulinda udhalimu wa CCM siku ya leo.

Shida ni watanzania ni sawa na US civil war, hata baada ya unionist kushinda vita, abolishment of slavery. Bado kukawa na blacks ambao hawataki kutoka mashambani kuendelea kutumika.

Ndio kama watanzania wengi hawaamini bado wamepewa fursa ya kumtoa mkoloni mweusi mpaka muda huu. Waangaliaji wa maandamano ni wengi kuliko washiriki ukiangalia video nyingi.
 
Wameona wazime mtandao ili watu wasitoke ila watu wanatoka.

Watu wanapigiana simu na wanatoka kweli.

Tupo mitaaani tunapambana kulikomboa Taifa letu.

Kifuatacho ni JWTZ kumaliza tu kazi.
 
Hskuna polusi wa cheo cha chini atazuia maandamano wakati wanaofaidi pesa ni wakubwa juu.
Kwanini aumie au afe kutetea ujinga.

Kwani kituo mali yake, hata vikichomwa moto vyote nchi nzima wai bado wana kazi zao.

Wale kundi dogo wanaofaidi ndio viherehere wanataka turudi nyuma.
 
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 ngazi ya Urais Tanzania kama jinsi matukio yanavyotujia kutoka kwenu. Ukiwa na taarifa yoyote upande huu tafadhali usisite kuweka.

Wanaowania kinyang'anyiro hiki ni;
  1. Chama Cha Wananchi (CUF) - Gombo Samandito Gombo​

  2. NCCR-Mageuzi - Haji Ambar Khamis​

  3. CHAUMMA - Salum Mwalimu​

  4. Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Samia Suluhu Hassan​

  5. UDP - Saum Hussein Rashid​

  6. TLP - Yustas Mbatina Rwamugira​

  7. DP - Abdul Juma Mluya​

  8. ADA-TADEA - Georges Gabriel Bussungu​

  9. UMD - Mwajuma Noty Mirambo​

  10. UPDP - Twalib Ibrahim Kadege​

  11. NRA - Hassan Kisabya Almas​

  12. MAKINI - Coaster Jimmy Kibonde​

  13. NLD - Doyo Hassan Doyo​

  14. SAU - Majalio Paul Kyara​

  15. CCK - David Daud Mwaijojele​

  16. AAFP - Kunje Ngombare Mwiru​

  17. ADC - Wilson Elius Mulumbe​

Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi Tanzania soma > GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Asante kwa taarifa, tunayasubiri matokeo kwa hamu na shauku kubwa.
P
 
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 ngazi ya Urais Tanzania kama jinsi matukio yanavyotujia kutoka kwenu. Ukiwa na taarifa yoyote upande huu tafadhali usisite kuweka.

Wanaowania kinyang'anyiro hiki ni;
  1. Chama Cha Wananchi (CUF) - Gombo Samandito Gombo​

  2. NCCR-Mageuzi - Haji Ambar Khamis​

  3. CHAUMMA - Salum Mwalimu​

  4. Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Samia Suluhu Hassan​

  5. UDP - Saum Hussein Rashid​

  6. TLP - Yustas Mbatina Rwamugira​

  7. DP - Abdul Juma Mluya​

  8. ADA-TADEA - Georges Gabriel Bussungu​

  9. UMD - Mwajuma Noty Mirambo​

  10. UPDP - Twalib Ibrahim Kadege​

  11. NRA - Hassan Kisabya Almas​

  12. MAKINI - Coaster Jimmy Kibonde​

  13. NLD - Doyo Hassan Doyo​

  14. SAU - Majalio Paul Kyara​

  15. CCK - David Daud Mwaijojele​

  16. AAFP - Kunje Ngombare Mwiru​

  17. ADC - Wilson Elius Mulumbe​


Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi Tanzania soma > GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe unaeleta haya mashudu umeona uchaguzi uliokamilika?

Au hizo hela ulizolipwa ndo unakuja kujitoa ufahamu humu?

Endelea kusafisha uchafu. Hasira zetu Wananchi zikikufikia usilalamike
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom