macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Hakukuwa na uchaguzi na Samia hawezi kuwa rais wa Tanzania.
Nyie.Asilimia 98% jamani
Kaupiga mwingi eeehhh??Nyie.Asilimia 98% jamani
Yaaani kuanzia muda huu askari wetu wanatakiwa kuwakamata Wazanzibari wote na kuwaweka ndani.Jwtz mmeruhusu haya? Hivi mnafaida gani kwenye hii nchi?
Hizi habari ni za kweli? Nadhani wanataka kutuharibia nchi yetu
JW wamefanya vizuri sana. Na mapambano HAJAFIKA mwisho. Kutangazwa kuwa kashinda kihuni ni batili na wananchi tunatakiwa tujitokeze kwa wingi kupinga. Hatuwezi kuwa na rais anayenuka damu!Jwtz mmeruhusu haya? Hivi mnafaida gani kwenye hii nchi?
Jeshi hili sio la kutegemea tena mkuuYaaani kuanzia muda huu askari wetu wanatakiwa kuwakamata Wazanzibari wote na kuwaweka ndani.
Jeshi lichukue nchi haraka
Daah mkuu wanyarwanda Geita wametuua sana tangu trh 30 na jana yaani siyo ya kuandika humuJW wamefanya vizuri sana. Na mapambano HAJAFIKA mwisho. Kutangazwa kuwa kashinda kihuni ni batili na wananchi tunatakiwa tujitokeze kwa wingi kupinga. Hatuwezi kuwa na rais anayenuka damu!
Hakuna JWTZ huko? Kwa nini msiwaite?Daah mkuu wanyarwanda Geita wametuua sana tangu trh 30 na jana yaani siyo ya kuandika humu
Akifanya Hivyo, nchi anachukua nchimbi na Mafisadi yanaendelea kuifisadi nchi. Njia ni moja tu, muafaka wa kitaifa utakuwepo ikiwa tu uchaguzi utarudiwa ukiwa na neutral referee…By the way ,mshindi alikuwa anashindana na nani?Nchi haitawaliki hii.Bora ajiuzulu tu.