GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Status
Not open for further replies.
Mkuu GT kusema kweli nafarijika sana kusomaga michango yako humu. Unaandika facts kabisa.

Nje ya mada naomba kujua umespecialized kwenye fani gani naona upo kotekote, Afya, management, business, politics, agriculture, psychology n.k.
Shukran

Jack of all trades
 
1762008046493.png

Natoa pongezi kubwa kwa rahis mteule nywinywi Ida Amina Mama kwa ushindi mnono wa kishindo na kifujo.
A Luta Continua. Kigumu chama cha mapinduzi.
 
Nadhani pamoja na mapungufu ya Tume ya Uchaguzi wakati huo, chaguzi za 1995, 2010 na 2015 ndizo zilizokuwa nzuri. Katika chaguzi hizo mshindi alipatikana kwa chini ya asilimia 70. Ukishasikia ushindi wa kuanzia asilimia 85 na zaidi ujue kuna tatizo.
 
Atajwe tu mi najua hatuna rais.
Ameharibu image duniani kote liko na maushungi km limetoka Somalia wakati ni hili maza ubwabwa tu toka znz na hilo toto lake punga wanakuja kututawala
 
Hiki ni kituko cha dunia.

Huu ndo wakati wa kuwafundisha Wazanzibari kuwa wakome kutuchezea Watanganyika.

Kuanzia leo ndo Wataelewa nini maana ya nguvu ya umma.


Huyu Mama akikanyaga Tanganyika ili atuongoze sasa ni kumshughulikia kama alivyoshughulikiwa Samuel Doe kule Liberia
Mkuu post yako ulipost jumamosi, na internet ilizimwa kulikoni sasa
 
View attachment 3496384

Ni kwa asilimia 97.66% ya kura 31,913,866

Kwa mujibu wa Tume, jumla ya wapiga kura walioandikishwa ni milioni 37,655,559; Waliopiga kura ni milioni 32,678,844

Anayemfuatia ni Salum Mwalimu wa CHAUMMA ambaye kapata kura 213,414 sawa na 0.65%

Some Social Media reactions:


View: https://www.instagram.com/reel/DQgY53KiOXX/?igsh=c2U5aTQ1dnRoMW5m

Haya ni maajabu ?

Je sio wizi huu?

Na kama alishinda kwa kura zote kwa nini hakuapishwa uwanjwa benjamin mkapa ili wananchi washuhudie tukio la kihistoria?
 
Kinachochekesha INEC wanatangaza matokeo ya uraisi ila hawaweki wazi matokeo ya ubunge.

Hii nayo kali.
 
Hakutakuwa na uchaguzi wala kampeni tena Tanzania katika siku za usoni endapo sababu kuu za maandamano hazita tatuliwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom