Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Hii ni zaidi ya aibu
Uzalendo wako ulikuwa kwa Mbowe, maslahi yako, tumbo lako, kabila lako.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwamba kapiga U-turn ya hatari.Uzalendo wako ulikuwa kwa Mbowe, maslahi yako, tumbo lako, kabila lako.
Toka aoendolewe sasa hivi uko upande wa genge la Samia. Watu kama nyie wasaliti, mnaojali vyeo, matumbo yenu pekee ndio genge la Samia linawatumia kutawala Tanganyika.
Watu kama hawa, BAK na kuna walikuwa wanapigania wabaki kwenye mirija ya asali Upinzani wao wa Nguvu ulitokana na kukatwa kwa mirija yao ya asali.Mwamba kapiga U-turn ya hatari.
Mbowe kaingiaje tena? Unanilaumu kwa lipi? Pambaneni na hali zenu!!!Uzalendo wako ulikuwa kwa Mbowe, maslahi yako, tumbo lako, kabila lako.
Toka aoendolewe sasa hivi uko upande wa genge la Samia. Watu kama nyie wasaliti, mnaojali vyeo, matumbo yenu pekee ndio genge la Samia linawatumia kutawala Tanganyika.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwamba kapiga U-turn ya hatari.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwamba kapiga U-turn ya hatari.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwamba kapiga U-turn ya hatari.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwamba kapiga U-turn ya hatari.
Jinsi ulivyopiga U-turn na sasa kufurahia haya maovu yanayoendelea nchini. Umebadilika, sio kama uliivyokuwa mpinzani mkubwa wa serikali Mbowe alipokuwa madarakani.Mbowe kaingiaje tena? Unanilaumu kwa lipi? Pambaneni na hali zenu!!!
Hakuna shaka kwamba hizi ni takwimu za kupika. INEC is full of demons-possessed traitors of our beloved country!View attachment 3496384
Ni kwa asilimia 97.66% ya kura 31,913,866
Kwa mujibu wa Tume, jumla ya wapiga kura walioandikishwa ni milioni 37,655,559; Waliopiga kura ni milioni 32,678,844
Anayemfuatia ni Salum Mwalimu wa CHAUMMA ambaye kapata kura 213,414 sawa na 0.65%
Pole sanq kunywa maji mengi....maumivu yakizidi muone daktari.Jinsi ulivyopiga U-turn na sasa kufurahia haya maovu yanayoendelea nchini. Umebadilika, sio kama uliivyokuwa mpinzani mkubwa wa serikali Mbowe alipokuwa madarakani.
Wakati ule tusingeona hivi emoji zako za kuchekacheka kwenye issue muhimu zinazohusu mustakabali wa Taifa.
Hizo ni namba za Kim Jong Un wa North Korea.Nyie.Asilimia 98% jamani