Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
HahahahahahahahaHizo ni mamba za Kim Jong Un wa North Korea.
HahahahahahahahaHizo ni mamba za Kim Jong Un wa North Korea.
Shangaa na wewe! As in how🤷♀️🤷♀️Nyie.Asilimia 98% jamani
Gen Z hauutambui uchaguzi huuView attachment 3496384
Ni kwa asilimia 97.66% ya kura 31,913,866
Kwa mujibu wa Tume, jumla ya wapiga kura walioandikishwa ni milioni 37,655,559; Waliopiga kura ni milioni 32,678,844
Anayemfuatia ni Salum Mwalimu wa CHAUMMA ambaye kapata kura 213,414 sawa na 0.65%
Wengine wamekamatwa na wengine kuuwawa na Jeshi lenyeweKwa hiyo hao wageni walioshughulikiwa maiti zao zimekutwa mitaani au walikimbia wakiwa majeruhi?
Wote tutaumia. japo hutambui hilo kwa sasa na unajichekesha na kukitoa ufahamu. Wewe na vizazi vyako,wote, yoyote aliyepo kwenye hii ardhi, hili genge likiendelea kutawala tutaumia.Pole sanq kunywa maji mengi....maumivu yakizidi muone daktari.
Kama ni kweli, upo sawa 100%. Nchi inaenda kuwa uwanja wa vita wa Mataifa mengine mbalimbali kama DRC, Sudan, Somalia.Kama amefanya hivyo ameshindwa kufikiria mbali maana hao watu hata mgogoro ukiisha hawatarudi kwao wanaweza wakamgeuka na kuunda vikundi vya kigaidi ambavyo vitatudhuru wote ikiwemo na wao viongozi watakaoshikilia Dola.
Tuombe wazalendo wapate ujasiri wa kuishi viapo vyao, wameahidi na kuapa kuilinda katiba na Tanzania hadi mwisho ili tusifike huko.Yes na ukumbuke hao nchi jirani ni wazoefu sana kwenye vita za vikundi vya misituni waking'ang'ania haitakuwa kazi rahisi kuwaondoa si umeona kule Msumbiji wanavyoteseka na makundi ya msituni
Mpaka nimeona aibu mimiNyie.Asilimia 98% jamani
Landslide 🤣 hakuna Tume huru hapoNyie.Asilimia 98% jamani
Mkuu GT kusema kweli nafarijika sana kusomaga michango yako humu. Unaandika facts kabisa.Wao wanatumia kila karata waliyo baki nayo kwa sasa. Majizi ni determined kuendelea kuharibu nchi.
Vita mbinu lakini uhalisia hawana control ndio maana haya mambo wanafanyia vyumbani.
Ukweli ni kwamba this is over, Samia hawezi ongoza tena hii nchi; watanzania hawamtaki ata majizi yaje na sarakasi gani.
Ngumu kwao kukubali yaishe maana wengine washaanza kuzoea ulinzi wa PSU hasa Emmanuel Nchimbi; huyu ndio devil advocate mwenyewe and master mind nyuma uharibifu wa taifa.