Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.
Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako CCM kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".
Adui muombee njaa na siasa ni mipango .
Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "