Tetesi: Uchaguzi wa Wilaya - CCM , Team Lowassa washinda kwa 75%

Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba
"TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA"

hahahahaha...., kumbe wanajua kuwa uwepo wao ni msaada bunduki!!.
 
Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.

Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako CCM kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".

Adui muombee njaa na siasa ni mipango .

Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "
Akili za kijinga kabisa, kama team Lowasa ilishindwa kuwasaidia 2015 itakuja kuwa hii ya 2017? Upinzani wa namna hauwezi kushika dola.
 
Kwanini unakuwa mwongo wa kimahaba hivi,Lowassa ni mwizi hilo halina shake hata viongozi wetu hapo mwembechai walithibitisha hiyo. Kama hayo usemayo ni kweli basi leo huyo mwizi angekuwa Rais.
Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.

Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako CCM kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".

Adui muombee njaa na siasa ni mipango .

Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "
 
Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.

Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako CCM kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".

Adui muombee njaa na siasa ni mipango .

Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "

Pumbavu
 
Kwahiyo Liwassa ni ccm anaeishi chadema?
 
Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.

Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako CCM kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".

Adui muombee njaa na siasa ni mipango .

Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "
Ni kweli kabisa Mkuu wengi wa washindi ni Team ya Matumaini.........!!! kuna kazi kubwa huko mbele wanaojifanya wajuaji ni wengi.............!!! walio chini kila ukimuuliza wamekata tamaa kwa uchaguzi huu.......Sijui itakuwaje.......kwenye Chaguzi kuanzia kata hadi kwenye Matawi wajanja wamepandikiza watu ili waje kufanikisha hili na kweli wamefanikiwa sasa subiri kulipiza visasi........na kuitana wasaliti kutakavyo shamiri na kufukuzana uanachama........Kisa misimamo tofauti baina ya Mtu na Mtu na siyo Chama............
 
Mkuu kuna watu wenye vichwa vyepesi wameshindwa kunielewa .
 
Adui muombee njaa na siasa ni mipango .
Kosa mnalofanya kila siku ni kutegemea ushindi kwa huruma ya wana ccm never!
Mngekua na akili mngepata jibu pale mlipulizwa lowassa ni aaset au liability.Kavuka na watu wasiozidi kumi tena waliotemwa.
CCM Hawapo hivyo kama mnavyowafikiria,juzi tu mlikua mnampongeza Bashe anajitambua,leo kawa naibu waziri Tamisemi,hakuna mtu aliefungua bakuli lake kuhoji kama Bashe ni shushu au la
 
Propaganda za kitoto sana, ingekua kweli si mngebaki kimya tu, mkawa mnafurahi kimoyo moyo
 
Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.

Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako CCM kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".

Adui muombee njaa na siasa ni mipango .

Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "
Mbona ni akili majitaka unayoleta hapa. Swali hao mamluki unaosema watafaidikaje endapo CCM ikishindwa? Wanamkomoa nani kama na wao ni CCM? Je Lowassa bado anaendelea kuwapa fedha? Kama anaendelea kuwapa fedha kama alivyozoea, je hiyo ni wazi kuwa CDM sasa hivi wananunua watu kwa fedha? Je hao mamluki wanakubalika kwa wana-CHADEMA ama ndiyo ya akina Mwapachu kurudi CCM baada ya kujikuta hawezi kukubalika?
 
Si mlisema Lowassa amefilisika , mpaka kauza nyumba ! Kwani bado ana hela ?
 
Back
Top Bottom