Tetesi: Uchaguzi wa Wilaya - CCM , Team Lowassa washinda kwa 75%

Tetesi: Uchaguzi wa Wilaya - CCM , Team Lowassa washinda kwa 75%

Hakuna rangi, ccm hawataona,chini ya bulidoza lao.mdude usio na kichwa ili uwe na akili ya kuwaza,kutafakari na kuchambua mambo,mdude unaotumia mibunduki ya kivita bahari na mto ruvu kuuwa watu ! Tusubiri hatma ya huu mbuludoza."Eti mimi sinyongi watu", hao unaochinja ni wachache ? Nihaki unayofanya kumwaga damu,hatakama sio kwa kunyonga ? Uzuri hata wewe mauti yatakufika tu,huta paa kwenda mbinguni kama Elia ! Nilazima umauti uupitie.Mungu muongezee huyu mtawala maadui wa ndani,ili iwe rahisi kumuangamiza.ametapakaa uovu maungoni mwake,hata mavazi yake, kiasi kwamba,nchi ina athirika vibaya mno,kwautawala wake.Mungu hupendezwi na uovu,tenda muujiza ktk hili,Amen
 
Hahah hapa ndipo CHADEMA mnazingua,yani EL yupo kwenu halafu saiv mnahusisha walokuwa wafuasi wake ambao bado wapo CCM? maana yake nini? ama team lowassa,ndani ya chama tawala inawasaidia nini?
mkuu jirekebishe bhana,kiukweli hii sio habari kabisa.
 
Hahah hapa ndipo CHADEMA mnazingua,yani EL yupo kwenu halafu saiv mnahusisha walokuwa wafuasi wake ambao bado wapo CCM? maana yake nini? ama team lowassa,ndani ya chama tawala inawasaidia nini?
mkuu jirekebishe bhana,kiukweli hii sio habari kabisa.
Kama Team Lowassa si lolote kwanini kila siku kanuni zinabadilishwa ili kuwadhibiti ?

Ngoja nikunong'oneze jambo , Lowassa ni mfumo uliojichimbia ndani ya ccm , si rahisi kuuondoa .
 
Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.

Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako CCM kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".

Adui muombee njaa na siasa ni mipango .

Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "
Crap!
 
Kama Team Lowassa si lolote kwanini kila siku kanuni zinabadilishwa ili kuwadhibiti ?

Ngoja nikunong'oneze jambo , Lowassa ni mfumo uliojichimbia ndani ya ccm , si rahisi kuuondoa .
Inawezekana,lakini hata hivyo ni faida ya ccm sio chadema wala ukawa.
 
Kwani Lowassa alishindwa ? Lowassa mwenyewe amesema hadharani mara kadhaa kwamba alishinda , umesikia akihojiwa ?
Ni kweli alishinda, na ndo maana sasa hivi anaitwa Rais Lowasa na anapatikana pale ikulu ya tz.
 
Nyie ma ccm,mmeshawahi kuuona moto wa kupikia PIZZA unavofanywa?
Unafunikwa na MAJIVU,ukiangalia utazani umezima kumbee.

Sasa ngojeni muda uwadie
 
Mkuu umeacha ulokole , mbona unadanganya ?
Labda hujaelewa. Mnaporopoka hivi upande wa pili si wanawasikia? Umesahau yale ya uchaguzi kuwa kuhusu tume niachieni mimi. Mwisho wa siku mtu wenu akatolewa sehemu nyeti mkabaki mnalialia. Ni sawa na wa Kenya eti mpaka wanikate kiganja changu yakamkuta kweli. Upinzani hamuwezagi kutunza mambo vifuani mwenu mpaka msemeseme?

Kwenye ulokole nadhani umenifananisha.
 
kuna watu wanashindwa kuelewa kuwa lowassa kama lowassa ni fullusa tosha fanyeni utafiti mdogo tu kwenye chaguzi zinazoendelea mtajuwa anawafuasi wangapi ndani ya ccm yenu utasikia wanatafuta kura kwa kumsingizia mwenzie kuwa ni timu lowassa hata chaguzi zilizofutwa ulizeni ni kwanini wamezifuta wamekuwa wanasingizia rushwa ukichunguza kiundani utagundu ni lowassa na wangeweza kufuta kwenye wilaya zote lakini wanaogopa garama.
 
Kweli ni tetesi tu, maana kama kweli Lowassa ana wafuasi wengi CCM, kiasi hicho kwanini hawakumchagua kuwa rais
Kwa sababu TISS chini ya Bashite walifanya kazi vizuri kmzibiti , pia wazee wa ccm walijawa na woga.
 
Hiki kilichoandikwa wengi watakibeza na kutoa kejeli, lakini hilo ndilo jambo lililotokea
 
Bavicha uwezo wenu wa kujenga hoja unashuka siku hadi siku.....hata propaganda za mtandaoni zinawashinda kwa kiasi kikubwa...
hasa toka dr Slaa aliyekuwa anawaandikia aondoke
 
Back
Top Bottom