Tetesi: Uchaguzi wa Wilaya - CCM , Team Lowassa washinda kwa 75%

Tetesi: Uchaguzi wa Wilaya - CCM , Team Lowassa washinda kwa 75%

Kosa mnalofanya kila siku ni kutegemea ushindi kwa huruma ya wana ccm never!
Mngekua na akili mngepata jibu pale mlipulizwa lowassa ni aaset au liability.Kavuka na watu wasiozidi kumi tena waliotemwa.
CCM Hawapo hivyo kama mnavyowafikiria,juzi tu mlikua mnampongeza Bashe anajitambua,leo kawa naibu waziri Tamisemi,hakuna mtu aliefungua bakuli lake kuhoji kama Bashe ni shushu au la
Mjomba kwani wewe hujagombea , umeridhika na kugonga meza kila siku ?
 
Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.

Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako CCM kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".

Adui muombee njaa na siasa ni mipango .

Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "
Unatia aibu kikolo kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri,kwa hiyo hawa wafuasi wa kishinda ndio kutakuwa na jipi jipya?alikuwepo CCM akashindwa leo yupo chama cha mafisadi ndio ataiweza CCM ?CCM ni kina kirefu kaka ,hizo propaganda uchwara za hapa mtandaoni hazitawasidia kupata ushindi huku Kajunjumele ambako huuliza JamiiForums ndio nini?huyu mtu hatujawahi kumsikia........
 
Hahaha hah hahaha ma ccm yanatokwa povu hapo juu hahaha ngoja 2020

Swissme
 
hakuna wa kunikata, wanaotaka nitoke ccm watangulie hizo kauli na majigambo ikiwa pamoja na kuimbiwa wimbo kuwa tuna imani na lowasa vyote havikufua dafu hao waliopo watafanya nini kama walishindwa kumfata lakini hata kama wapo na wameshinda kwa kiasi kikubwa si ndio fursa kwake
 
Kosa mnalofanya kila siku ni kutegemea ushindi kwa huruma ya wana ccm never!
Mngekua na akili mngepata jibu pale mlipulizwa lowassa ni aaset au liability.Kavuka na watu wasiozidi kumi tena waliotemwa.
CCM Hawapo hivyo kama mnavyowafikiria,juzi tu mlikua mnampongeza
IMG-20171007-WA0004.jpg
 
Hakuna ambae angesema kweli, kuwa ni tetesi au kweli, mkuu ulichosema yamkini uko sahihi, kunawatu unaweza kuishi nao ukidhanini wenzako kumbe laaa! Nihatari sana
 
Unatia aibu kikolo kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri,kwa hiyo hawa wafuasi wa kishinda ndio kutakuwa na jipi jipya?alikuwepo CCM akashindwa leo yupo chama cha mafisadi ndio ataiweza CCM ?CCM ni kina kirefu kaka ,hizo propaganda uchwara za hapa mtandaoni hazitawasidia kupata ushindi huku Kajunjumele ambako huuliza JamiiForums ndio nini?huyu mtu hatujawahi kumsikia........
Nikurekebshe kidogo hapo mkuu, CHAMA CHA MAFISADI NI CCM na wafadhili wao na ndio wenye kesi nyingi za ufisadi, nafikiri hapo ulichanganya kidogo. Sijapata kumsikia fisadi kutoka upinzan ambae kapelekwa mahakamani.
 
Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.

Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako CCM kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".

Adui muombee njaa na siasa ni mipango .

Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "
Unataka kuleta wasi wasi na taharuki kwa watu.Au ndiyo njia ya kuchonganisha maadui?
 
Bavicha uwezo wenu wa kujenga hoja unashuka siku hadi siku.....hata propaganda za mtandaoni zinawashinda kwa kiasi kikubwa...
Hivi kwa akili zako za ndezi ,ccm na ukawa wapi wapo vizuri mitandaoni????
 
Back
Top Bottom