Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bavicha uwezo wenu wa kujenga hoja unashuka siku hadi siku.....hata propaganda za mtandaoni zinawashinda kwa kiasi kikubwa...Wakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa ccm kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.
Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako ccm kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".
Adui muombee njaa na siasa ni mipango .
Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "
Ichukue kama tetesi tu mkuuBavicha uwezo wenu wa kujenga hoja unashuka siku hadi siku.....hata propaganda za mtandaoni zinawashinda kwa kiasi kikubwa...
Ni tetesi tu mkuu .Unawatafutia shida walioshinda, maana kila mshindi atashukiwa!
Kweli ni tetesi tu, maana kama kweli Lowassa ana wafuasi wengi CCM, kiasi hicho kwanini hawakumchagua kuwa raisNi tetesi tu mkuu .
Aliporwa ushindiKweli ni tetesi tu, maana kama kweli Lowassa ana wafuasi wengi CCM, kiasi hicho kwanini hawakumchagua kuwa rais
Basi ungeanza na tetesi, lakini umewasilisha kama unauhakika wakati chanzo ni kwenye vibaraza vya kahawa.Ichukue kama tetesi tu mkuu
Nyie UVCCM mna uwezo gani wa kujenga hoja? au kununua madiwaniBavicha uwezo wenu wa kujenga hoja unashuka siku hadi siku.....hata propaganda za mtandaoni zinawashinda kwa kiasi kikubwa...
Kwani Lowassa alishindwa ? Lowassa mwenyewe amesema hadharani mara kadhaa kwamba alishinda , umesikia akihojiwa ?Kweli ni tetesi tu, maana kama kweli Lowassa ana wafuasi wengi CCM, kiasi hicho kwanini hawakumchagua kuwa rais
Hiyo timu si ingemuweka madarakani basiWakuu namba hazidanganyi , jana umefanyika uchaguzi wa CCM kwenye ngazi za wilaya kadhaa , Taarifa niliyopenyezewa ni kwamba wale Team Lowassa wameshinda kwa zaidi kidogo ya 75%.
Ifahamike kwamba 80% ya wanaccm ni Team Lowassa , wako pamoja naye hata huko UKAWA aliko , bali wako CCM kwa hofu ya " KUSHUGHULIKIWA ".
Adui muombee njaa na siasa ni mipango .
Mh Kikwete aliwahi kuwaonya wanaccm wenzake kwamba " TUKITEGEMEA POLISI TUTASHINDWA "
Oooh kumbe!Aliporwa ushindi
Aisee!Kwani Lowassa alishindwa ? Lowassa mwenyewe amesema hadharani mara kadhaa kwamba alishinda , umesikia akihojiwa ?
Subiri !Hiyo timu si ingemuweka madarakani basi