Tetesi: Uchaguzi wa Wilaya - CCM , Team Lowassa washinda kwa 75%

Awamu hii naifananisha na awamu ya tatu...ambayo ilitengeneza mtandao wa urais ambao Ben alishindwa kuudhibiti. Magu naye atatengeneza mtandao ndani ya CCM ambao hata afanyeje hatakuja kuuweza wakati wa harakati za urais baada ya yeye kumaliza awamu yake.
 
Naona ulivimbiwa ukashikwa na uharo, endelea kuhalisha.
 
unamaanisha hata mwenyekiti alichaguliwa na team lowasa.
kwa maana nyingine lws ni owner wa ccm kwa asilimia ulizotoa.
mkuu unafurahisha
 
Sasa kama wanampenda EDO si waambatane naye! kama wamejificha ndani ya CCM basi ni wanafiki hao
 
Team Lowasa??? Lowasa karudi sisiemu tayari?
 
Ni sawa Mh Zitto. Kusema nchi inapoteza bil 600 kwa mwezi. Leo tumefaamishwa Matrilioni ya pesa kwa mwezi. Ni hii ya 75% ya sana CCM eti ni mashabiki wa fisadi Lowassa
 
unamaanisha hata mwenyekiti alichaguliwa na team lowasa.
kwa maana nyingine lws ni owner wa ccm kwa asilimia ulizotoa.
mkuu unafurahisha
Ukifuatilia historia ya ugonjwa wa Kansa utaelewa namaanisha nini .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…