Uchaguzi wa Yanga: Dkt. Msolla achaguliwa kuwa Mwenyekiti na Mwakalebela kuwa Makamu Mwenyekiti Yanga

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Matokeo ya uchagizi wa klabu ya Yanga yametangwazwa huku nafasi ya Mwenyekiti akishinda Dr Mshindo Msolla na Makamu Mwenyekiti akishinda Frendrick Mwakalebela
Matokeo
Mwenyekiti
Dr. Jonas Tiboroha kura 60
Dr. Mshindo Msolla kura 1276

Nafasi ya Makamu Mwenyekiti
Chota 12
Osolo 17
Yono 31
Mbene janet 67
Mwakalebela 1206

Yanga imepata uongozi mpya baada ya mwenyekiti kiti wake Yusuf Manji kujiuzulu miaka 2 iliopita
 
Hongereni sana Wanachama wa Yanga SC kwa kuamua wenyewe kabisa Kuwachagua ' Wanasimba Sports Club ' Wawili Dkt. Mshindo Msolla na Fredrick Mwakalebela kuwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Sports Club.

Sasa Simba SC itakuwa inaifunga Yanga SC idadi ya Goli itakazokuwa inataka yenyewe. Mtakoma na Kujuta kwani Kuna ' Umafia ' mkubwa Simba SC tulifanya na mmeuvagaa mkenge! Tukisema kuna Wana Yanga SC wengi uwezo wenu wa ' IQ ' ni mdogo msiwe mnabisha au mnakataa kwani Watu wa Mpira tunajuana na hakuna Watu ambao ni Wapenzi wazuri wa Simba SC kama Dkt. Mshindo Msolla na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TFF Fredrick Mwakalebela.

Mtajuta na Kujilaumu mno na Kesho Lipuli FC ya Matola inaanza kuwapeni Salamu Yanga SC kwa Kufungwa huko Iringa.

Nawasilisha.
 
Klabu ya soka ya Yanga leo imefanya uchaguzi wa kuchagua viongozi wao watakao waongoza kwa miaka minne ijayo, ambapo wamemchagua Dkt Mshindo Msola kuwa Mwenyekiti wao huku Fredrick Mwakalebela akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti
Screenshot_2019-05-05-17-53-53-1.jpg
 
Hivi lowasa alipohamia Chadema CCM walifanya wayatakayo? Muogope sana mganga aliyeokoka, vile vile mnae mwanetu Manara kwenu mnaona hafanyi kazi?

Wana Yanga SC kweli ni ' Mazwazwa ' yaani Simba SC tumewaingizeni cha ' Kike ' huku tukitumia mbinu zetu nyingi za ' Ushawishi ' na ' Propaganda ' Mitandaoni na katika Vyombo vya Habari Kuwaaminisheni kuwa hao ni Wenzenu ( wana Yanga SC ) wakati Kiuhalisia siyo kabisa badala yake ni Wana Simba SC wenzetu tena wa ' Kindakindaki ' kabisa.

Sasa mtakoma na mtatukoma Simba Sports Club.
 
Kunywa maji kwanza upunguze jazba, kama ni wanasimba wamegombeaje yanga bila kadi za uanachama? Mpira ni kama siasa tu kila mtu anaweza kuhamia upande unaomfit.
 
Mtatukoma mwaka huu na hadi muda wao wa Ukomo wa Uongozi utakapoisha hapo Yanga SC.
 
Hongereni sana Wanachama wa Yanga SC kwa kuamua wenyewe kabisa Kuwachagua ' Wanasimba Sports Club ' Wawili Dkt. Mshindo Msolla na Fredrick Mwakalebela kuwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Sports Club.

Sasa Simba SC itakuwa inaifunga Yanga SC idadi ya Goli itakazokuwa inataka yenyewe. Mtakoma na Kujuta kwani Kuna ' Umafia ' mkubwa Simba SC tulifanya na mmeuvagaa mkenge! Tukisema kuna Wana Yanga SC wengi uwezo wenu wa ' IQ ' ni mdogo msiwe mnabisha au mnakataa kwani Watu wa Mpira tunajuana na hakuna Watu ambao ni Wapenzi wazuri wa Simba SC kama Dkt. Mshindo Msolla na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TFF Fredrick Mwakalebela.

Mtajuta na Kujilaumu mno na Kesho Lipuli FC ya Matola inaanza kuwapeni Salamu Yanga SC kwa Kufungwa huko Iringa.

Nawasilisha.
Kiongozi ulitaka tumchague Akilimali ah Samahani i mean Tiboroha ili tuendelee na shida zetu, Mwenyekiti wakati anamalizia kampeni zake alituahidi kumpa Kocha Zahera fedha za usajili ili kutengeneza timu yenye nguvu!! Jipangeni Yanga mpya yaja
 
Da si niliona kipeperushi cha mzee akilimali nae anagombea au walikua wanatania tu ha ha ha ha ha napendaga sana ile picha yake akiwa anakula wali
 
Mwenyekiti mpya Dr. Msolla wakati anamalizia kampeni aliamua kujilipua, huyu Dr sijui kazichungulia hela wapi si kwa jeuri hii
 
Wana Yanga SC kweli ni ' Mazwazwa ' yaani Simba SC tumewaingizeni cha ' Kike ' huku tukitumia mbinu zetu nyingi za ' Ushawishi ' na ' Propaganda ' Mitandaoni na katika Vyombo vya Habari Kuwaaminisheni kuwa hao ni Wenzenu ( wana Yanga SC ) wakati Kiuhalisia siyo kabisa badala yake ni Wana Simba SC wenzetu tena wa ' Kindakindaki ' kabisa.

Sasa mtakoma na mtatukoma Simba Sports Club.
We utakua mzee akilimali manake sijawai kuona hata siku moja umeandika point
 
Mikia wanaweweseka.. . Subash Patel, Rostam na mmoja simtaji kazi ipo.. Nyie mna mkono mmoja Jangwani watatu zinamwagwa 120B..Klabu tajiri kabisa Afrika
 
Back
Top Bottom