Hivi lowasa alipohamia Chadema CCM walifanya wayatakayo? Muogope sana mganga aliyeokoka, vile vile mnae mwanetu Manara kwenu mnaona hafanyi kazi?
Kunywa maji kwanza upunguze jazba, kama ni wanasimba wamegombeaje yanga bila kadi za uanachama? Mpira ni kama siasa tu kila mtu anaweza kuhamia upande unaomfit.Wana Yanga SC kweli ni ' Mazwazwa ' yaani Simba SC tumewaingizeni cha ' Kike ' huku tukitumia mbinu zetu nyingi za ' Ushawishi ' na ' Propaganda ' Mitandaoni na katika Vyombo vya Habari Kuwaaminisheni kuwa hao ni Wenzenu ( wana Yanga SC ) wakati Kiuhalisia siyo kabisa badala yake ni Wana Simba SC wenzetu tena wa ' Kindakindaki ' kabisa.
Sasa mtakoma na mtatukoma Simba Sports Club.
Kunywa maji kwanza upunguze jazba, kama ni wanasimba wamegombeaje yanga bila kadi za uanachama? Mpira ni kama siasa tu kila mtu anaweza kuhamia upande unaomfit.
Mtatukoma mwaka huu na hadi muda wao wa Ukomo wa Uongozi utakapoisha hapo Yanga SC.
Hongereni wote mlioshinda! Tunataka maendeleo sasa!Mtatukoma mwaka huu na hadi muda wao wa Ukomo wa Uongozi utakapoisha hapo Yanga SC.
Kiongozi ulitaka tumchague Akilimali ah Samahani i mean Tiboroha ili tuendelee na shida zetu, Mwenyekiti wakati anamalizia kampeni zake alituahidi kumpa Kocha Zahera fedha za usajili ili kutengeneza timu yenye nguvu!! Jipangeni Yanga mpya yajaHongereni sana Wanachama wa Yanga SC kwa kuamua wenyewe kabisa Kuwachagua ' Wanasimba Sports Club ' Wawili Dkt. Mshindo Msolla na Fredrick Mwakalebela kuwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Sports Club.
Sasa Simba SC itakuwa inaifunga Yanga SC idadi ya Goli itakazokuwa inataka yenyewe. Mtakoma na Kujuta kwani Kuna ' Umafia ' mkubwa Simba SC tulifanya na mmeuvagaa mkenge! Tukisema kuna Wana Yanga SC wengi uwezo wenu wa ' IQ ' ni mdogo msiwe mnabisha au mnakataa kwani Watu wa Mpira tunajuana na hakuna Watu ambao ni Wapenzi wazuri wa Simba SC kama Dkt. Mshindo Msolla na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TFF Fredrick Mwakalebela.
Mtajuta na Kujilaumu mno na Kesho Lipuli FC ya Matola inaanza kuwapeni Salamu Yanga SC kwa Kufungwa huko Iringa.
Nawasilisha.
ha ha ha ha ha ha nimecheka sanaAkilimali atabaki kuwa mdhamini mkuu wa timu?
We utakua mzee akilimali manake sijawai kuona hata siku moja umeandika pointWana Yanga SC kweli ni ' Mazwazwa ' yaani Simba SC tumewaingizeni cha ' Kike ' huku tukitumia mbinu zetu nyingi za ' Ushawishi ' na ' Propaganda ' Mitandaoni na katika Vyombo vya Habari Kuwaaminisheni kuwa hao ni Wenzenu ( wana Yanga SC ) wakati Kiuhalisia siyo kabisa badala yake ni Wana Simba SC wenzetu tena wa ' Kindakindaki ' kabisa.
Sasa mtakoma na mtatukoma Simba Sports Club.