Uchaguzi wa Yanga: Dkt. Msolla achaguliwa kuwa Mwenyekiti na Mwakalebela kuwa Makamu Mwenyekiti Yanga

Baada ya muda mrefu kesho pale Iringa lini timu yetu itakua inaongozwa na viongozi waliochaguliwa na wanachama!! Hodi iringa
 
Chakubanga kwenye mkutano wa yanga...
Siasa ulevi mbaya kha!!
 
Mikia wanaweweseka.. . Subash Patel, Rostam na mmoja simtaji kazi ipo.. Nyie mna mkono mmoja Jangwani watatu zinamwagwa 120B..Klabu tajiri kabisa Afrika

Kuna Mmoja umemtaja hapo na huyo ambaye umemficha ila bahati nzuri nimeshamjua wakithubutu tu kuanza Kuichangia Yanga SC Mmoja Kesi yake ya Uhujumu Uchumi inafukuliwa na huyo Mwingine uliyemficha Kesi yake ya Utapeli na Ukwepaji wa Kodi inafukuliwa. Ole Wao kwani watajuta na Utajiri Wao huo utapukutishwa ndani ya muda mfupi tu kama wakiwa na Kimbelembele cha Kuisaidia / Kuifadhili Yanga SC.
 
Pole sana mkuu maana siku hadi siku unazidi kujifedhehesha. Nawasilisha
 
Mikia wanaweweseka.. . Subash Patel, Rostam na mmoja simtaji kazi ipo.. Nyie mna mkono mmoja Jangwani watatu zinamwagwa 120B..Klabu tajiri kabisa Afrika
Nimategemeo na watoto ya Dr Mengi watakuwa kama mzee wao katika kufadhili Yanga .
 
Mlidhani tutakuwa maskini milele? Mjiandae kisaikolojia
 
na leo watakuwa ndani ya samora iringa kuwapa vijana wao nguvu. Kizuri msola alichosema kocha atapewa bajeti aitakayo ya usajili sio ile 1.5bn tu, du manara utabidi atafute gunia la ndimu ndani mwake.
 
Msolla katafuta uongoz apate nae pesa ya kujikimu maisha, hiyo sound ya billion 1.5 ni danganya toto

hii ni arranged move sio mchezomchezo , ukisikia ni timu ya wananchi inabidi ujitafakari, watu wanejipanga, usije ukasikia watu hawana hamu tena na mambo ya siasa wanaifuatilia yanga tu
 
hiyo bilioni moja na nusu ni michango ya wananchi inatimia siku ya chakula cha hisani, hiyo anayo mh mavunde yeye anaanza uongozi anayo mkononi tayari, sio mchezo
Msolla katafuta uongoz apate nae pesa ya kujikimu maisha, hiyo sound ya billion 1.5 ni danganya toto
 
hii ni arranged move sio mchezomchezo , ukisikia ni timu ya wananchi inabidi ujitafakari, watu wanejipanga, usije ukasikia watu hawana hamu tena na mambo ya siasa wanaifuatilia yanga tu

Ole Wao hao Matajiri wenu Watatu wajitokeze tu Kuisaidia Yanga SC zile Kesi zao ' zitaibuliwa ' upya na Wote wataishia tu Jela.
 
Nafikiri yanga itabadilika kidogo na kuanza fikra mpya za kujitegemea.
 
Yanga ya Msola yajayo yanafurahisha!

Hakuna Mshabiki na Mwanachama wa Simba SC kama huyo Mwenyekiti wenu mliyemchagua bila Kumsahau na Makamu Mwenyekiti wake. Watu wa Mpira wanalijua hilo na tunajuana.
 
Uchaguzi huu umeingiliwa na ccm na watu wa kitengo. Najiuliza tu kwa sauti, Polepole alienda kwenye mkutano wa Yanga kufanya nini?

Waliochaguliwa ni makada wa ccm, hii itatufanya wengine tujiweke pembeni na Yanga tunayoipenda.
 
Yanga SC na CCM ni sawa na UKIMWI na Mwanadamu Mkuu.
 
Ikiwa walikuwa Simba ni siku hizo za nyuma sasa hivi hao ni Yanga, mbona wewe ulikuwa mtoto na sasa hivi umekuwa, au wewe ungali na utoto ?
 
Ikiwa walikuwa Simba ni siku hizo za nyuma sasa hivi hao ni Yanga, mbona wewe ulikuwa mtoto na sasa hivi umekuwa, au wewe ungali na utoto ?

Huwezi kuwa Simba SC tokea Mtoto halafu ghafla tu ukageuka na kuwa Yanga SC. Kubalini tu kuwa mmeingia cha ' Kike ' Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…