Makambovich
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 207
- 200
Baada ya muda mrefu kesho pale Iringa lini timu yetu itakua inaongozwa na viongozi waliochaguliwa na wanachama!! Hodi iringa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia wanaweweseka.. . Subash Patel, Rostam na mmoja simtaji kazi ipo.. Nyie mna mkono mmoja Jangwani watatu zinamwagwa 120B..Klabu tajiri kabisa Afrika
Pole sana mkuu maana siku hadi siku unazidi kujifedhehesha. NawasilishaKuna Mmoja umemtaja hapo na huyo ambaye umemficha ila bahati nzuri nimeshamjua wakithubutu tu kuanza Kuichangia Yanga SC Mmoja Kesi yake ya Uhujumu Uchumi inafukuliwa na huyo Mwingine uliyemficha Kesi yake ya Utapeli na Ukwepaji wa Kodi inafukuliwa. Ole Wao kwani watajuta na Utajiri Wao huo utapukutishwa ndani ya muda mfupi tu kama wakiwa na Kimbelembele cha Kuisaidia / Kuifadhili Yanga SC.
Nimategemeo na watoto ya Dr Mengi watakuwa kama mzee wao katika kufadhili Yanga .Mikia wanaweweseka.. . Subash Patel, Rostam na mmoja simtaji kazi ipo.. Nyie mna mkono mmoja Jangwani watatu zinamwagwa 120B..Klabu tajiri kabisa Afrika
Mlidhani tutakuwa maskini milele? Mjiandae kisaikolojiaKuna Mmoja umemtaja hapo na huyo ambaye umemficha ila bahati nzuri nimeshamjua wakithubutu tu kuanza Kuichangia Yanga SC Mmoja Kesi yake ya Uhujumu Uchumi inafukuliwa na huyo Mwingine uliyemficha Kesi yake ya Utapeli na Ukwepaji wa Kodi inafukuliwa. Ole Wao kwani watajuta na Utajiri Wao huo utapukutishwa ndani ya muda mfupi tu kama wakiwa na Kimbelembele cha Kuisaidia / Kuifadhili Yanga SC.
na leo watakuwa ndani ya samora iringa kuwapa vijana wao nguvu. Kizuri msola alichosema kocha atapewa bajeti aitakayo ya usajili sio ile 1.5bn tu, du manara utabidi atafute gunia la ndimu ndani mwake.
hii ni arranged move sio mchezomchezo , ukisikia ni timu ya wananchi inabidi ujitafakari, watu wanejipanga, usije ukasikia watu hawana hamu tena na mambo ya siasa wanaifuatilia yanga tuKuna Mmoja umemtaja hapo na huyo ambaye umemficha ila bahati nzuri nimeshamjua wakithubutu tu kuanza Kuichangia Yanga SC Mmoja Kesi yake ya Uhujumu Uchumi inafukuliwa na huyo Mwingine uliyemficha Kesi yake ya Utapeli na Ukwepaji wa Kodi inafukuliwa. Ole Wao kwani watajuta na Utajiri Wao huo utapukutishwa ndani ya muda mfupi tu kama wakiwa na Kimbelembele cha Kuisaidia / Kuifadhili Yanga SC.
Msolla katafuta uongoz apate nae pesa ya kujikimu maisha, hiyo sound ya billion 1.5 ni danganya toto
hii ni arranged move sio mchezomchezo , ukisikia ni timu ya wananchi inabidi ujitafakari, watu wanejipanga, usije ukasikia watu hawana hamu tena na mambo ya siasa wanaifuatilia yanga tu
mkuu imeshakubaliwa subirni usakili wa akina mputuOle Wao hao Matajiri wenu Watatu wajitokeze tu Kuisaidia Yanga SC zile Kesi zao ' zitaibuliwa ' upya na Wote wataishia tu Jela.
Nafikiri yanga itabadilika kidogo na kuanza fikra mpya za kujitegemea.Matokeo ya uchagizi wa klabu ya Yanga yametangwazwa huku nafasi ya Mwenyekiti akishinda Dr Mshindo Msolla na Makamu Mwenyekiti akishinda Frendrick Mwakalebela
Matokeo
Mwenyekiti
Dr. Jonas Tiboroha kura 60
Dr. Mshindo Msolla kura 1276
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti
Chota 12
Osolo 17
Yono 31
Mbene janet 67
Mwakalebela 1206
Yanga imepata uongozi mpya baada ya mwenyekiti kiti wake Yusuf Manji kujiuzulu miaka 2 iliopita
Yanga ya Msola yajayo yanafurahisha!
Uchaguzi huu umeingiliwa na ccm na watu wa kitengo. Najiuliza tu kwa sauti, Polepole alienda kwenye mkutano wa Yanga kufanya nini?
Waliochaguliwa ni makada wa ccm, hii itatufanya wengine tujiweke pembeni na Yanga tunayoipenda.
Ikiwa walikuwa Simba ni siku hizo za nyuma sasa hivi hao ni Yanga, mbona wewe ulikuwa mtoto na sasa hivi umekuwa, au wewe ungali na utoto ?Wana Yanga SC kweli ni ' Mazwazwa ' yaani Simba SC tumewaingizeni cha ' Kike ' huku tukitumia mbinu zetu nyingi za ' Ushawishi ' na ' Propaganda ' Mitandaoni na katika Vyombo vya Habari Kuwaaminisheni kuwa hao ni Wenzenu ( wana Yanga SC ) wakati Kiuhalisia siyo kabisa badala yake ni Wana Simba SC wenzetu tena wa ' Kindakindaki ' kabisa.
Sasa mtakoma na mtatukoma Simba Sports Club.
Ikiwa walikuwa Simba ni siku hizo za nyuma sasa hivi hao ni Yanga, mbona wewe ulikuwa mtoto na sasa hivi umekuwa, au wewe ungali na utoto ?