Uchaguzi wa Yanga: Dkt. Msolla achaguliwa kuwa Mwenyekiti na Mwakalebela kuwa Makamu Mwenyekiti Yanga

Huwezi kuwa Simba SC tokea Mtoto halafu ghafla tu ukageuka na kuwa Yanga SC. Kubalini tu kuwa mmeingia cha ' Kike ' Mkuu.
Mbona Simba ilitokana na Yanga watu hawajasema Simba ni tawi la Yanga!
 
Uchaguzi huu umeingiliwa na ccm na watu wa kitengo. Najiuliza tu kwa sauti, Polepole alienda kwenye mkutano wa Yanga kufanya nini?

Waliochaguliwa ni makada wa ccm, hii itatufanya wengine tujiweke pembeni na Yanga tunayoipenda.
Labda na yeye ni mwanachama wa Yanga!
 
Huwezi kuwa Simba SC tokea Mtoto halafu ghafla tu ukageuka na kuwa Yanga SC. Kubalini tu kuwa mmeingia cha ' Kike ' Mkuu.
Mbona ww ulikuwa mnyarwanda utotoni saa hz unajifanya mtanzania?
 
Kuna Mmoja umemtaja hapo na huyo ambaye umemficha ila bahati nzuri nimeshamjua wakithubutu tu kuanza Kuichangia Yanga SC Mmoja Kesi yake ya Uhujumu Uchumi inafukuliwa na huyo Mwingine uliyemficha Kesi yake ya Utapeli na Ukwepaji wa Kodi inafukuliwa. Ole Wao kwani watajuta na Utajiri Wao huo utapukutishwa ndani ya muda mfupi tu kama wakiwa na Kimbelembele cha Kuisaidia / Kuifadhili Yanga SC.
Ole wao wawafuatilie wakiwa wafazili wa Yanga ndio hapo watakapojua kama sasa tumechoka
 
Hongereni sana Wanachama wa Yanga SC kwa kuamua wenyewe kabisa Kuwachagua ' Wanasimba Sports Club ' Wawili Dkt. Mshindo Msolla na Fredrick Mwakalebela kuwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Sports Club.

Sasa Simba SC itakuwa inaifunga Yanga SC idadi ya Goli itakazokuwa inataka yenyewe. Mtakoma na Kujuta kwani Kuna ' Umafia ' mkubwa Simba SC tulifanya na mmeuvagaa mkenge! Tukisema kuna Wana Yanga SC wengi uwezo wenu wa ' IQ ' ni mdogo msiwe mnabisha au mnakataa kwani Watu wa Mpira tunajuana na hakuna Watu ambao ni Wapenzi wazuri wa Simba SC kama Dkt. Mshindo Msolla na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TFF Fredrick Mwakalebela.

Mtajuta na Kujilaumu mno na Kesho Lipuli FC ya Matola inaanza kuwapeni Salamu Yanga SC kwa Kufungwa huko Iringa.

Nawasilisha.
Wewe zamani nilikuona mtu makini sana kumbe mzee wa matani
 
Leteni za kuleta kuhusu chama la wananchi. Huyo Kanjibai wenu kwanza arudishe mashamba yetu ya mkonge.
Akikaidi, anate... tena. Safari hii miezi mitatu hadi afirisike.
Mwenye kusikia na asikie
 
Hongereni sana Wanachama wa Yanga SC kwa kuamua wenyewe kabisa Kuwachagua ' Wanasimba Sports Club ' Wawili Dkt. Mshindo Msolla na Fredrick Mwakalebela kuwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Sports Club.

Sasa Simba SC itakuwa inaifunga Yanga SC idadi ya Goli itakazokuwa inataka yenyewe. Mtakoma na Kujuta kwani Kuna ' Umafia ' mkubwa Simba SC tulifanya na mmeuvagaa mkenge! Tukisema kuna Wana Yanga SC wengi uwezo wenu wa ' IQ ' ni mdogo msiwe mnabisha au mnakataa kwani Watu wa Mpira tunajuana na hakuna Watu ambao ni Wapenzi wazuri wa Simba SC kama Dkt. Mshindo Msolla na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TFF Fredrick Mwakalebela.

Mtajuta na Kujilaumu mno na Kesho Lipuli FC ya Matola inaanza kuwapeni Salamu Yanga SC kwa Kufungwa huko Iringa.

Nawasilisha.
Ahsante sana mtani ila umesahau kuwa hata rais wa TFF ni mnyama pia
 
Huwezi kuwa Simba SC tokea Mtoto halafu ghafla tu ukageuka na kuwa Yanga SC. Kubalini tu kuwa mmeingia cha ' Kike ' Mkuu.
Bro. Mbona unateseka? Kwa kuwa wamekidhi vigezo vya kuwa viongozi wetu haina shida! Hata kina Kafulila, Shonza, Mwita, Kitila..... Walikuwa Chadema lakini sasa ni viongozi tegemezi huko Ccm! So, mikia tulieni dawa iwaingie
 
Back
Top Bottom