Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
niliyepost hapo najua nini kinaendelea. ingia ndani ya website ya nec ID 19272313 haina mwenye ID 19272312 ina mwenyewe
hebu ingia kwenye website ya nec uingize hizo namba then uniambie. nakusubiri nina dk 15 kuwa hapa janvini
ndo maana mnaambiwa mrinde kura mkiondoa tu.........
Wakuu wangu mtanisamehe, mengine tunamezea lakini hili HAPANA!
Yote yawezekana. Lakini wanaoendeleza mdahalo huu wameisha jitangaza kuwa wao ni CHADEMA na wanampigia Debe Dr. Slaa. Hii inaweza ikawa wao si CHADEMA. Lakini mimi naamini kuwa hilo wanalolifanya si sahihi na hawaitendei haki nchi yetu na Umma wa watanzania. Watoe Taarifa na Nyaraka sahihi ili tuamini. Nchi hii ni yetu ikivurugika tutaharibikiwa wengi. wasifanye Mzaa katika jambo zito kama hili. Tusikubali mafisadi watuzuge. Mungu ibariki Tanzania.LeopoldByongje,
Kwani kwenye barua hii Dr Slaa, CHADEMA na washabiki wao wanaingiaje/wanahusikaje? Kwa nini sio CCM, CUF, NCCR-Mageuzi au TLP?
Mkuu Invisible, with due respect; Hivi, uliona wapi wafanya magendo au wala rushwa wakapeana risiti? nadhani hiyo barua ndio uchakachuaji wenyewe na aliyeitoa anakusudia kujenga hofu na kuwababaisha watu.
Uzoefu wangu wa rafu za uchaguzi huwa hakuna maandishi labda pale mnapotaka kujenga mazingira ya kufungua kesi kupinga matokeo.
Umetimiza wajibu wako mkuu..achana na hao waliolewa fedha za bure kutokana na jasho letu...kiama chao chaja..hivi nyinyi watu ni lini mtatambua kuwa kuna mipango mibovu ndani ya ccm dhidi ya uchaguzi wa mwaka huu
hata jambo la msingi kama hili na tena liko wazi bado mnatia question mark?
tuwambie vipi ili muelewe?
wewe ni mpumbavu nani amekwambia hii barua ya kiselikari
kama hutaki ondoka hapa
VoterID19272313 FULL NAMEREGISTRATION CENTREREGIONDISTRICTWARD
VoterID19272312 FULL NAMESUBIRA SELEMANI SEGELELENI REGISTRATION CENTREOFISI YA WEO 'A' REGIONDAR ES SALAAM DISTRICTMANISPAA YA ILALA WARDBUGURUNI
Wewe EDSON NYang'ahu Mkubwa umeanza kutukana watu kwa ajiri ya barua yenyewe HOAX
we are finished!
Jesus, MAY YOU COME SOON!
Mkuu Invsible na wengine kama mtaweza kunisaidia
asante sana....... Majina mbona yamekosewa? pili JK alikuwa mwanza tarahe hizi?
baba enock umeona ehee!
kwa hiyo basi huwa hatubahatishi tunapowaletea habari kama hizi za mwanza
Wewe unajua JK jana alilala wapi?, au juzi?. Haya maswali mengine ni ya kitoto sana. Unjua kuwa mwaka 1995 JK Nyerere alielekea Zanzibar usiku na kurudi usiku huo huo baada ya kuona Salmini kashindwa na baada ya hapo wakabinua meza ya matokeo?. Sasa wewe kama great thinker, uwe unaangalia beyond kumuona mtu kwenye mikutano ya kampeni tu.