Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
niliyepost hapo najua nini kinaendelea. ingia ndani ya website ya nec ID 19272313 haina mwenye ID 19272312 ina mwenyewe
hebu ingia kwenye website ya nec uingize hizo namba then uniambie. nakusubiri nina dk 15 kuwa hapa janvini

ndo maana mnaambiwa mrinde kura mkiondoa tu.........

VoterID19272313 FULL NAMEREGISTRATION CENTREREGIONDISTRICTWARD
VoterID19272312 FULL NAMESUBIRA SELEMANI SEGELELENI REGISTRATION CENTREOFISI YA WEO 'A' REGIONDAR ES SALAAM DISTRICTMANISPAA YA ILALA WARDBUGURUNI
 
Wakuu wangu mtanisamehe, mengine tunamezea lakini hili HAPANA!




Invisible: Baada ya kusoma kwa uangalifu you intro hapo juu – hii barua ya Kabwe ni fake through and through. Ni kama vile unafanya kile kinachoitwa “to chase a red herring” – yaani tuanze kujadili wizi wa kura kufuatana na barua hii kumbe wenyewe wanaiba kwa njia nyingine kabisa. I think you understand what I mean!

Unatuwekea barua fake kwa sababu gani? Leo asubuhi umefuta thread yangu kuhusu Ikulu kuhusika na uenezaji na chuki za udini – bila kutoa maelezo yoyote. Unajua wazi ile claim ilikuwa true 100% na ukaiondoa – na badala yake unaweka hii fake na kusema eti
“mengine tunamezea lakini hili HAPANA!”

Sasa naingiwa na wasiwasi na wewe. Naomba tafadhali uirudishe ile thread yangu ya asubuhi.

 
LeopoldByongje,
Kwani kwenye barua hii Dr Slaa, CHADEMA na washabiki wao wanaingiaje/wanahusikaje? Kwa nini sio CCM, CUF, NCCR-Mageuzi au TLP?
Yote yawezekana. Lakini wanaoendeleza mdahalo huu wameisha jitangaza kuwa wao ni CHADEMA na wanampigia Debe Dr. Slaa. Hii inaweza ikawa wao si CHADEMA. Lakini mimi naamini kuwa hilo wanalolifanya si sahihi na hawaitendei haki nchi yetu na Umma wa watanzania. Watoe Taarifa na Nyaraka sahihi ili tuamini. Nchi hii ni yetu ikivurugika tutaharibikiwa wengi. wasifanye Mzaa katika jambo zito kama hili. Tusikubali mafisadi watuzuge. Mungu ibariki Tanzania.
 
Mkuu Invisible, with due respect; Hivi, uliona wapi wafanya magendo au wala rushwa wakapeana risiti? nadhani hiyo barua ndio uchakachuaji wenyewe na aliyeitoa anakusudia kujenga hofu na kuwababaisha watu.
Uzoefu wangu wa rafu za uchaguzi huwa hakuna maandishi labda pale mnapotaka kujenga mazingira ya kufungua kesi kupinga matokeo.

Siafikiani na hilo mkuu, kwani yanayoendelea yanaenda sambamba na hii barua. Cheki Nec ilivyopiga mkwara watu kutokuwa karibu na vituo, then polisi wakasema watu wasiwe vikundi vikundi kusubiri matokeo, then jeshi na polisi vikishirikiana vikasema watu wakubali matokeo na kama hawayataki waende mahakamani, then vituo na majina feki vimeshajulikana maeneo mbalimbali. Unataka nini zaidi ili uelewe ndugu yangu. Wake up, Usiwe wale wanaoambiwa kuna moto kwenye jengo hawaamini eti mpaka wauone kwanza ndio watoke nje.
 
hivi nyinyi watu ni lini mtatambua kuwa kuna mipango mibovu ndani ya ccm dhidi ya uchaguzi wa mwaka huu

hata jambo la msingi kama hili na tena liko wazi bado mnatia question mark?

tuwambie vipi ili muelewe?
Umetimiza wajibu wako mkuu..achana na hao waliolewa fedha za bure kutokana na jasho letu...kiama chao chaja..
 
hii barua ni feki.... usiniulize why lakini nitaiita feki hadi pale nitakapopata uthibitisho otherwise
 
VoterID19272313 FULL NAMEREGISTRATION CENTREREGIONDISTRICTWARD
VoterID19272312 FULL NAMESUBIRA SELEMANI SEGELELENI REGISTRATION CENTREOFISI YA WEO 'A' REGIONDAR ES SALAAM DISTRICTMANISPAA YA ILALA WARDBUGURUNI


baba enock umeona ehee!

kwa hiyo basi huwa hatubahatishi tunapowaletea habari kama hizi za mwanza
 
Itolewe kwenye habari za Tv na Magazeti. Na ile nyingine walioikamata akina slaa tunaiomba hapa.
 
Wewe EDSON NYang'ahu Mkubwa umeanza kutukana watu kwa ajiri ya barua yenyewe HOAX

Watch your language ...njoo na hoja! Kama fake tuachieni sisi tunapenda fake kila kitu, raisi fake, serikali fake, wananchi fake.....fake fake!
 
Mkuu Invsible na wengine kama mtaweza kunisaidia

asante sana....... Majina mbona yamekosewa? pili JK alikuwa mwanza tarahe hizi?

Wewe unajua JK jana alilala wapi?, au juzi?. Haya maswali mengine ni ya kitoto sana. Unjua kuwa mwaka 1995 JK Nyerere alielekea Zanzibar usiku na kurudi usiku huo huo baada ya kuona Salmini kashindwa na baada ya hapo wakabinua meza ya matokeo?. Sasa wewe kama great thinker, uwe unaangalia beyond kumuona mtu kwenye mikutano ya kampeni tu.
 
baba enock umeona ehee!

kwa hiyo basi huwa hatubahatishi tunapowaletea habari kama hizi za mwanza


Hapa una ushahidi tunakubali na hakuna asiyejua NEC iko gado kuiba kura lakini hii barua hapana
 
Kumbe ndio maana vyuo vyetu vimefungwaene!!!. Kuwabana vijana wasipige kura maana wapo upinzani. Hata kama mtu atabishia hii barua, matendo wanayofanya ccm, yanaendana na haya maelezo.
 
With all due respect to you Invisible.

Nina kila sababu za kuamini kuwa hii barua ni feki. Naomba wanaharakati muwe makini sana kwenye kutumia hii barua kama uthibitisho wa wizi wa kura.

Bandiko langu hili sio la kumuandama Invisible (a friend and a guy I respect) BUT ni kumu-alert kuwa inawezekana amelishwa kasa.

Uchunguzi uendelee ili kuthibitisha authenticity ya hiyo barua.

Ila kwa sasa, wapiganaji wote tuelekeze nguvu zetu kwenye kuhakikisha kuwa vijana wote wanafika kwenye vituo vya kupiga kura na wanapiga kura kwa wingi sana. Kwa pamoja tutaweza kubadilisha uongozi wa nchi yetu na kuwaondoa hawa majambazi waliopora maliasili zetu zote kwa manufaa yao binafsi na familia zao.

Najua nitaumiza baadhi ya ego for this BUT I had to do this today.
 
Wewe unajua JK jana alilala wapi?, au juzi?. Haya maswali mengine ni ya kitoto sana. Unjua kuwa mwaka 1995 JK Nyerere alielekea Zanzibar usiku na kurudi usiku huo huo baada ya kuona Salmini kashindwa na baada ya hapo wakabinua meza ya matokeo?. Sasa wewe kama great thinker, uwe unaangalia beyond kumuona mtu kwenye mikutano ya kampeni tu.

Unataka kusema Nyerere ni baba wa uchakachuaji kura?
 
mkkutano wa G LEMA (MP) utakuwepo pale EKENYWA NYUMA ya uwanja wa Mpira....KARIBUNI SANA!!! PIPOOOOOOOOOOOOOZ
 
Nsololi ahsante duh hawa kweli wa kuwakata vichwa na kutupa ndani ya ziwa victoria waliwe na sangara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom