Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.


mkuu kwanii uamini kuwa ni feki kama hujafanya huo uchunguzi na kututhibitishia kuwa ni feki? jana nimepita mwananyamala nikamsikia kiongozi wa CCM wa shina akiteta na mtu kuwa mwananyamala kuna vituo zaidi ya 20 feki.
 
Asante sana kwa jicho lako la tatu, na independent thinking. Wewe ni mwanaharakati objective. Utaitwa proCCM.

Sio nia yangu kushame anybody here. Nimeomba tu watu wawe waangalifu sana na hiyo barua.
 

U-FAKE WA hii barua uko wapi?
 
Naomba kuwaambie Nyie nyote Mlioko hapo Chini.
Hii barua inaweza kuwa imeandikwa na huyu kabwe Kweli.
Lakini inaweza kuwa na maana beyond the content.
Sidhani kama hawa CCM wako chini kiasi hiki Kujipa kesi, Na kutengeneza ushahidi kwa Mpinzani. no way!
Things like these cannot be put in writing. And if that is the case, zingesambazwa kwa siri sana, Labda Jk angepeleka kwa wahusika Mwenyewe.
Hii barua hatuwezi kuiangalia Beyond the Content?
Why the hell did they put this in writing?



There are currently 375 users browsing this thread. (116 members and 259 guests)

 
mkuu kwanii uamini kuwa ni feki kama hujafanya huo uchunguzi na kututhibitishia kuwa ni feki? jana nimepita mwananyamala nikamsikia kiongozi wa CCM wa shina akiteta na mtu kuwa mwananyamala kuna vituo zaidi ya 20 feki.

Mkuu,

Mimi nimeongelea tu hii barua, hayo mengine sijayaongelea.
Ninaamini kuwa ccm wana mpango wa kuiba kura (I know they will try to do it). Lakini hii barua jamani muwe nayo makini sana.
 

Kama hana hakika na chanzo chake, afunge (trash) hii thread
 
Huwezi kusema ni feki tu bila uthibitisho. Maana kila kitu kinachokuja usivyotaka utakataa ndio maana kuna mahakama. Kazi yake sio kusikiliza tu watu wanachosema bali kukithibitisha kwa ushahidi, na wewe fanya hivyo pia maana hatufanyi mashairi bali tunaweka hoja za msingi hapa.
 
kama huna uthibitisho kwa nini unaandika?
 
Sina uthibitisho for now BUT muulize hata Invisible mwenyewe uone kama utapata jibu straight.

Inv ndio mwenyewe wa nini?
yeye ndio aliyeandika hiyo barua?

kama huna uthibitisho wa U FAKE wa hiyo barua kaa kimya,
meseji imeshatumwa na kupokelewa
 
Mbona a while ago hii thread ilikuwa inasomeka vingine na sasa inasomeka vingine? nani kafanya namna hii?????????????????????!
Kwa sasa imeckakachuliwa maana content haifanani na heading, WHAT IS HAPPENING HERE???????????????

Watu wamemlazimisha invisible kufanya hivyo. Amefanya hivyo kuwaridhisha wale wanaotilia shaka barua hiyo. Lakini mkuu Edson hapa anasema kuna mdogo wake anayefanyakazi hapo hotelini La-Kairo na kamthibitishia kuwa kikao hicho kilifanyika. Sasa kwanini watu mnakuwa wagumu kuamini? Je hamzijuwi mbinu chafu za hawa watu?
 
Invisible,

Punguza hasira. Sioni kama kulikuwa na haja ya kwenda that far na kuibadili topic!!
 
Sio nia yangu kushame anybody here. Nimeomba tu watu wawe waangalifu sana na hiyo barua.

Najua huna nia ya kushame mtu. Kumbuka kujaomba tu wawe waangalifu, bali umesema hiyo barua ni fake hadi itakapothibitishwa. Neno langu ni kwamba you stayed skeptical, we have to, nyakati hizi.
 
baba enock umeona ehee!

kwa hiyo basi huwa hatubahatishi tunapowaletea habari kama hizi za mwanza

Acha fix, hii kitu siyo mpya hapa, imeanza kujadiliwa hapa na mifano toka juzi, acha kudesa.

Tundika hapa zile karatasi mlizo kamata kule mpakani.
 
Ni kweli hata mimi huyu wa 16 anaweza akawa anajua kitu lakini ni mtu wa kumpuuza sana katika saa hizi wananchi wananjia zao za kujua ukweli
 
Kwa kweli hii doc ina matatizo lakini ISIPUUZWE KABISA. Inaweza kuwa imetumika kwa nia ya kuwavuruga wapiga kura ili wakate tamaa wasiende kupiga kura hasa vijana na ili kuwafanya Chadema waonekane waongo na ikiwezekena siku wakiibiwa waonekane ni kawaida yao kusema uongo.

Lakini lolote linaweza kutokea kwa maana ni kweli si rahisi kwa JK, Rostam na Lowassa kukutana La Kairo, lakini katika VITA kama hii lolote linaweza kutokea dakika kama hizi za kukata tamaa.
 
Tuwe makini katika kipondi cha lalasalama. Kinachofanyika sasa hivi ni kujaribu kukatisha tamaa watu wanaounga mkono opposition wasiende kupiga kura. Njia mojawapo ni kuonyesha kuwa uchaguzi umeshaibwa ili watu waone kwamba hakuna haja ya kwenda kupiga kura. Ikitokea hivyo watakaoenda vituoni ni wana ccm pekee. Barua hii ni sehemu ya hiyo mikakati. Tuikatae mipango hii michafu. Hakuna kura kuibwa. Twendeni tukakpige kura. Cha msingi mawakala wawe imara.
 

wewe umejiunga juzi na huyu bwana kuna mambo makubwa alishafanya humu jf.
ccm ni wezi nani hajui?
 

Inakuaje unamuamini Edson? Unamjua?

Kwa nini ni lazima hizi barua ziaminiwe zaidi ya kutokuaminiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…