Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
Taarifa zilizo sahihi zinasema kila kituo kina wapiga kura "hewa" wapatao 200 zimethibitika. Ifuatayo ni baadhi tu ya wapiga kura hewa katika kituo cha:

Kituo: OFISI YA WEO 'A'
Mkoa: DAR ES SALAAM
Wilaya: MANISPAA YA ILALA
Kata: BUGURUNI

Hili ndilo jimbo analogombea Iddi Hassan Zungu wa CCM

Kadi za wapiga kura hao ni:
19272267, 19272271, 19272276, 19272283, 19272294, 19272303, 19272309, 19272311, 19272313

Ingia kwenye daftari la kudumu uthibitishe, The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage!
 
Ndugu zangu! kwanza nawapeni pole, Hii forums imeingiliwa na wajanja tuwe makini sana. Soma kwanza kile alichotoa Invisible mwanzo na kile kilichopo sasa 1st: "Re: Uchakachuaji UPO! - NYARAKA HIZI HAPA" na 2nd: "Re: Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE". Unaona nini na unajifunza nini???? na kwanini Invisible hatoi majibu kwa hizi tofauti???. Kwa hiyo tuwe makini something is happening on this forums. Kunawatu wanataka kupotosha ukweli na kutaka kuwahadaa wana - JF.

Hii forum iko sawa tu, wewe fanya kazi yako na kapige kura mkuu
 
Kweli hizo nyaraka na barua ni feki na hazina ukweli wowote zaidi ya kuonyesha woga walio nao baadhi ya watu ,Chadema msiogope kushindwa.
 
Taarifa zilizo sahihi zinasema kila kituo kina wapiga kura "hewa" wapatao 200 zimethibitika. Ifuatayo ni baadhi tu ya wapiga kura hewa katika kituo cha:

Kituo: OFISI YA WEO 'A'
Mkoa: DAR ES SALAAM
Wilaya: MANISPAA YA ILALA
Kata: BUGURUNI

Hili ndilo jimbo analogombea Iddi Hassan Zungu wa CCM

Kadi za wapiga kura hao ni:
19272267, 19272271, 19272276, 19272283, 19272294, 19272303, 19272309, 19272311, 19272313

Ingia kwenye daftari la kudumu uthibitishe, The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage!

Vituo vya kupigia kura viko vingapi nchi nzima kulingana na nyaraka za NEC?
 
uchakachuaji ni lazima kuwepo maana majuha tupo wengi tunaogopa dola. kuna mijitu ipo tayari kuuza watu ili wapate sifa kwa mabosi wao
 
Bado wagumu kuelewa....kwa kubadilisha title ya thread,amejivua liability lakini anafikisha ujumbe...ni kama kumsifia mtu kwamba si mwizi wakati unajua fika ni mwizi,so mleta thread amewazunguka wenye barua (kama wapo,na kama ni ya kweli)...CCM wanasalitiana,kikao cha jana usiku IRINGA kati ya CCM na POLISI aliyevujisha nyeti kwa CHADEMA ni CCM na POLISI haohao..
 
bado wagumu kuelewa....kwa kubadilisha title ya thread,amejivua liability lakini anafikisha ujumbe...ni kama kumsifia mtu kwamba si mwizi wakati unajua fika ni mwizi,so mleta thread amewazunguka wenye barua (kama wapo,na kama ni ya kweli)...ccm wanasalitiana,kikao cha jana usiku iringa kati ya ccm na polisi aliyevujisha nyeti kwa chadema ni ccm na polisi haohao..

siri gani tena kaka, mbona hatuja ipata!
 
He really spoke the truth, although he is an absolute liar
 
1. Bahati mbaya tumekumbana na barua hizi ikabidi tuwashirikishe!

download

download

download

Haya kumekucha, haya mambo kama ni ya kweli! Hapa ndipo huwa ninamtamani Mungu mwenye wivu apate kushuka na kushugulika na hawa watu waloamua kujifanya miungu watu. Yaani wanapanga na kuamua kupora 'utashi' wa mwanadamu katika karne hiii. Eee Mungu anayeishi milele ni na uhakika hautawaacha salama hawa wahuni; na kama utawaonea huruma tutakwenda kuwashitaki kwa shetani ili awashughulikie; amina
 
Mungu wangu,
BAN inanukia hapa. wacha nikimbie kabla sijakutukana
 
Taarifa zilizo sahihi zinasema kila kituo kina wapiga kura "hewa" wapatao 200 zimethibitika. Ifuatayo ni baadhi tu ya wapiga kura hewa katika kituo cha:

Kituo: OFISI YA WEO 'A'
Mkoa: DAR ES SALAAM
Wilaya: MANISPAA YA ILALA
Kata: BUGURUNI

Hili ndilo jimbo analogombea Iddi Hassan Zungu wa CCM

Kadi za wapiga kura hao ni:
19272267, 19272271, 19272276, 19272283, 19272294, 19272303, 19272309, 19272311, 19272313

Ingia kwenye daftari la kudumu uthibitishe, The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage!
Kama hali ndio hii ni kazi, labda waangalizi waongeze mbinu za ziada. Mfano, mpiga kura anapoingia na kadi yake mmoja anahakiki kwenye daftari, mwingine anatuma namba kwa sms kucheck kwenye data base ya NEC kuona kama atapata taarifa zinazooana.
 
Wewe msanii ndio unasemaje kuhusu hili? nalo ni uongo?
 
Kuna haja ya CHADEMA kulifanyia kazi ili seriously!
CCM hawana haya!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom