Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
Invisible anatumiwa na nani? Vibaraka wa Malaika wa JK umejuaje kama wapo, ulikuwa mmoja wao ukaasi?

wewe ni uzushi Kama huna majibu ya maswali haya

Kumbe nitamjuaje kama sikuwa mmoja wao. Namkumbuka kwa vile tulikuwa naye, kwani unadhani wewe tulivyokuacha ukija na jina la Uwiani Maalum tutakusahau kuwa mmojwa wao tuliokuacha?.
 
Edson unaweza kutuelezea zaidi namna Mdogo wako alivyomwona JK pale La-Kairo tarehe hiyo?

Kuna jamaa zangu wawili wanafanya kazi pale naona hawajuhi lolote,labda kwasababu ni wazee na naamini labda mdogo wako ni kijana japo sijuhi umri wako..Napajua vizuri hapo La-kairo..kweli JK,RA,Lowassa ,Riz ,Gachuma na wengine 30 kukaa sehemu na Watu wasijue,kweli hiyo Hotel ina watu wazito
 
Invisible, mimi hii thread imeniacha kwenye kizungumkuti tu!
Mimi nilikuelewa ulivyo-present lakini watu walivyoanza kuijadili wamenichanganya kabisa.

Tafadhali naomba unifafanulie kwa maneno mepesi. Unataka kutuambia hii barua ni fake au si fake?
Jibu lako lita-explain kwa nini umei-post barua hii hapa jamvini.
 
Mr malaika is totally insane!kama ni kweli i think its better uma ujulishwe hili kupitia magazeti kesho asubuh ili uamue but before hilo halijafanyika najua watu wa intelijensia wapo humu wachek hzo tarehe hao wahusika kama walikua mwanza kweli au la?then walipita maeneo ya hiyo hotel?then ndo tuangalie hyo signature tu tafute na nyngne ya huyo muheshimiwa kama zina match bsi ushahidi tunao!
Shame ön u Mr Malaika+riz1+low. . . . . . .wasaaaa huuu ni upuuzi+rost . . . .tamu la kwa la aziz+na+wengne wote mlio husika!
 
wewe umejiunga juzi na huyu bwana kuna mambo makubwa alishafanya humu jf.
ccm ni wezi nani hajui?

Edson View Profile View Forum Posts Private Message View Articles Add as Contact Send Email
JF Senior Expert Member


--------------------------------------------------------------------------------
Join Date Sat Mar 2009
Posts 1,247
Thanks 130
Thanked 296 Times in 194 Posts Rep Power 24

Mimi na wewe nani amejiunga JUZI?..Acha kufuka moshi
 
kwa nn leo ? ? , kama ni kweli , uchaguzi uko mahututi /ICU , But tujiulize mara mbili wakubwa , hizi sio njama za chichiem waonekane wameshaiba kura ili kuwakatisha tamaa wapenzi wa Slaa wasiende kupiga kura ,Chichem ina kila mbinu chafu jamani , lets be Great Thinkers



Bahati mbaya tumekumbana na barua hizi ikabidi tuwashirikishe!
chakachua_halmashauri_mwanza1.jpg

chakachua_halmashauri_mwanza2.jpg
 
hivi nyinyi watu ni lini mtatambua kuwa kuna mipango mibovu ndani ya ccm dhidi ya uchaguzi wa mwaka huu

hata jambo la msingi kama hili na tena liko wazi bado mnatia question mark?

tuwambie vipi ili muelewe?

Tena we wa 16 usiandike chochote, ulituacha kwenye mataa kwenye issue ya kura feki. Tangu cku hiyo nilikujua kuwa we ni mzushi. Uciseme chochote we ni msanii
 
Invisible this is realy an authentic important document, please collect and keep, apart from distributing this document. It may become usefull in future.
These Mafioso type of leaders may endup in court (The Heague, the like of ICTR Arusha). These evidences may become quite usefull.
God fobide we pray that this election be conducted and concluded in peace.

First keep the peace within yourself, then you can also bring peace to others.Frederich Christoph.
 
Invisible, mimi hii thread imeniacha kwenye kizungumkuti tu!
Mimi nilikuelewa ulivyo-present lakini watu walivyoanza kuijadili wamenichanganya kabisa.

Tafadhali naomba unifafanulie kwa maneno mepesi. Unataka kutuambia hii barua ni fake au si fake?
Jibu lako lita-explain kwa nini umei-post barua hii hapa jamvini.

Changanya akili ya kuambiwa na ya kwako, utapata jibu kama hizi barua ni fake au la.

Ila hata viongozi wenyewe wa CHADEMA wamesema ni fake, sasa mwanachama unataka kuendelea kuzishikia bango?
 
Duh!haya sasa mmeona fitina za CCM,hii ni hatari kubwa kwa usalama wa nchi!
 
Changanya akili ya kuambiwa na ya kwako, utapata jibu kama hizi barua ni fake au la.

Ila hata viongozi wenyewe wa CHADEMA wamesema ni fake, sasa mwanachama unataka kuendelea kuzishikia bango?

Kwa upande mwingine naweza sema ni Fake na kwa upande wa pili ikawa ni really Doc.

Na twapaswa kulichukuwa kama angalizo au Tahadhali jamani.

Na kama sio fake pasi ni moja ya Propaganda za CCM kuwafanya viongozi waliko kwenye vituo kufuata hiyo amri ili wasifutwe kazi ndio ikawa pona pona yao kwahiyo lazima waingize hiyo propaganda

 
kabwe wa mwanza 😛eep:anajulikana na kila mtu kuwa nbi kibaraka wa ccm. hilo lina wezekana.
 
Ningeshauri tumsubiri Mwanakijiji aje na atoe maelezo kidogo kabla hatujapanic

Post yake inasema kwamba uchakachuaji HAUPO na kwamba NYARAKA hii ni FAKE
 
Sisi m wameshajua jinsi ya kutuchezea JF na sisi twacheza ngoma yao. Huu sio wakati wa hofu tena. UWT wako kazini kutuvuruga akili zetu. Tulieni ushindi ni wetu. Haki itashinda. Msikubaliane kirahisi kila linalokuja hapa sasa.
 
Ndugu zangu! kwanza nawapeni pole, Hii forums imeingiliwa na wajanja tuwe makini sana. Soma kwanza kile alichotoa Invisible mwanzo na kile kilichopo sasa 1st: "Re: Uchakachuaji UPO! - NYARAKA HIZI HAPA" na 2nd: "Re: Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE". Unaona nini na unajifunza nini???? na kwanini Invisible hatoi majibu kwa hizi tofauti???. Kwa hiyo tuwe makini something is happening on this forums. Kunawatu wanataka kupotosha ukweli na kutaka kuwahadaa wana - JF.
 
Ningeshauri tumsubiri Mwanakijiji aje na atoe maelezo kidogo kabla hatujapanic

Post yake inasema kwamba uchakachuaji HAUPO na kwamba NYARAKA hii ni FAKE

Akili yangu ya kuzaliwa inaniambia kwamba hii kitu ingekuwa hoax ingeshaondolewa hapa. Mleta thread hii anatumia tu busara ili watu wengi wajitokeze kupiga kura, ila wawe alert kuhusu udanganyifu wa kura. Sitaki kumwekea maneno mdomoni mwake, lakini nahisi kitu fulani anachofikiria kuhusu nchi yetu. Jambo kubwa tukapige kura wote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom