YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 37
Let skeptics be skeptical and believers believe what invisible have said. Two thing I will do: 1. I will pray 2. I will vote them offffffffff
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzenu saa hizi za lala salama wako busy na kampeni ya nyumba kwa nyumba, nyie na wengine busy kuangalia nani kaingia nyumba fulani, nani kaandika nini, nani yuko hotel fulani na fulani, na nani mumporomoshee matusi..
Stukieni strategies na strategist wenu, khaaaa! mchawi kafa?
he, leo invisible ni mnafiki? kweli ukila ujue na wewe unaliwaHuyu jamaa Aliyeweka hapa hii kitu ni kada wa CCM anataka kuvunja moyo wapinzani muangalieni sana huyu Invinsible ni mnafiki ukisambaza hizo vitu unawavunja moyo watu kuwa hata iweje kura yao kazi bure so watu wengine hawata enda piga kura ndivyo kibaraka invisible anavyotumiwa sasa,
he, leo invisible ni mnafiki? kweli ukila ujue na wewe unaliwa
blah.. blah... balalalalaaaablablababllblbaaaaaablaaaTabia ya human being in time domain ,ukijua hilo utatoa hiko kiulizo.Na haijalishi nini kafanya kabla
hata ingekua ndogo... kwenye shida tutajazana kimlandLakairo ni kati ya Hoteli kubwa sana Mwanza watu 30 si chochote ,
Bahati mbaya tumekumbana na barua hizi ikabidi tuwashirikishe!
ANGALIZO: Si lazima kuamini nyaraka hii, lakini si ya kupuuza hata chembe.
![]()
![]()
blah.. blah... balalalalaaaablablababllblbaaaaaablaaa
another ignore dude
vipi unaweza kumsaidia kupeleka?umeipeleka chadema?
samahani mutu kama nimekukwaza... maybe i looked at your post and being not clear and trying to simply the unsimplified stuffsni kitu gani nilichokosea ? fact people can change? at least kusema blah blah mention kitu gani ambacho ni blah !
Mara nyingi nafuatilia post za watu napenda kusoma ,hivyo husoma zako pia na naona huwa unaandika mambo makini na hii inaniambia si kuwa hujaelewa nilichosema just umeamua ku take side .
samahani mutu kama nimekukwaza... maybe i looked at your post and being not clear and trying to simply the unsimplified stuffs
apologies