Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
Hapa tunatakiwa kuwa makini sana, siamini kitu kama hiki wanaweza kukiweka kwenye maandishi sio wapumbavu. ninachoofia ni kuwa kuna watu wanajiandaa kutaka kuifungia JF wanatafuta sababu unless Mkuu Invisible una uhakika na source but this is craps.

Tuwe makini tusipewe barua kama za mwananchi maana serikali na taasisi zake zote kama TBC wanakampenia CCM wazi wazi bila kuficha.
 
Wote tumesikia kuhusu shutuma ambazo Dr.slaa ameitupia agency yetu ya usalama...lakini kitu ambacho mimi sikielewi ni kuhusu ujibuji wa hizi tuhuma na mazoea ya watanzania kuamini bila kudai uchunguzi au kuuliza zaidi...
1.Dr.slaa amezusha tuhuma hizo na kama kweli kazusha tuhuma hizo...reaction ya kwanza ya usalama ingekuwa kum sue dr.slaa kwa kuwapaka matope,chombo pekee kinachoweza kuprove kwamba dr.slaa kazusha tuhuma hizo ni mahakama kwa hiyo tungetegemea kuwa usalama wangemfungulia dr.slaa mashitaka.

2.Ni kweli...hapa kuna fact mija kubwa kuwa,dr.slaa pamoja na uanasiasa wake ni mtu ambaye anasimama kwenye maneno yake,ndiyo maana baada ya usalama kuzikataa hizo tuhuma akawaambia kuwa waende mahakamani ambako kila upande utatakiwa kupeleka ushahidi wa kutetea upande wake na pia watanzaania tutajua ukweli kuhusu uhusikaji wa usalama wa taifa kwenye uchakachuaji wa matokeo...

Au niseme hivii...kwa historia hakuna mtu hata mmoja aliyejitokeza kwenda mahakani kutokana na shutuma ambazo zimelekezwa kwake na dr.slaa hivyo kutunyima watanzania kujua ukweli na badala yake tunapewa press conference kibaoo...
Ni kwamba haya maneno yaliyoenea kwenye jamii kwamba mpaka usalama umesema basi dr.slaa kakosea,haujengi taifa kwani sasa watu watakuwa wanaangalia cheo na jina la taasisi kwamba kama ni agency yoyote ya serikali bac wanasema ukweli...Ni natural path kukataa kitu pale unapohusishwa nacho uwe ni ukweli au uongo hasa kitu ambacho kina consequence nyingi kama hiki.....Raisi Clinton alipohusishwa na kashfa ya mapezi na sekretari wake si alikataa lakini wamarekani hawakutaka kuishia kwenye hotuba yake ya kujisafisha,walidai utafiti zaidi ili UKWELI ujulikane na baada ya uchunguzi ukweli ukajulikana...
hivyo ili wananchi wajue kwamba nchi yao inaendeshwa kidemokrasia na hakukuwa na uchakachuaji wowote wa kura uliyoihusisha usalama,uchunguzi huru ufanyike la sivyo hakuna ukweli wowote ambao wanachi wamesikia na itakua aibu kwa nchi yetu na usalama pia!!!!
 
Umenena sahihi kabisa, kukataa kupitia kwenye vyombo vya habari si kwamba umesema ukweli!! Dr. Slaa alipowatuhumu akina lowasa, karamagi na wenzake walikanusha vikali jambo hilo kupitia vyombo vya habari, but at the end of the day ukweli ukajulikana kwamba Dr. Slaa alisema ukweli!! My suggestion sasa Silaa aanze mwenyewe kwenda mahakamani
 
slaa aende mahakamani kufanya nini? @masauni
 
Haelewi anachokisema msamehe tu! Mahakamani ni wastage of time! Umeona ni mara ngapi Mtikila amekuwa anakwenda huko, hajawahi kufanikiwa ingawaje wao wameshamfunga mara kadhaa. Mahakama zetu bado ni taasisi tegemezi kwa serikali. Ila serikali ikipeleka kesi, yaani wakamshitaki Slaa, kutakuwepo na msukumo fulani na hapo tutajua mengi, sio the other way round.

Lakin kesho sio mbali tutapata kujua kwa nini Jemadari wetu alisusa sherehe za kuapishwa JK
 
Ok nimekuelewa!.
 
Mkuu,
ni kweli kabisa, nimefarijika kusikia jemedari wetu atazungumza kesho. Mungu akutangulie Dr Slaa! I adore you..
 
Kuna vyombo vingine viongozi wetu wanavi'misuse au vyombo vyenyewe vinajimis use.
Lengo la usalama wa taifa ni kulinda usalama wa taifa lakini kwetu ni tofauti.
Chombo hiko nyeti kinalinda maslahi na madaraka ya viongozi.
Africa inasikitisha sana.
 
@Masauni kama Slaa, kaongea uongo si ameudharirisha usalama wa taifa la CCM?
wao ndiyo waende mahakamani
Jamani niwaambie tu ni kweli usalama wa taifa, umeusika kuiba kura. Kuna rafiki yangu mmoja tulisoma naye miaka ya nyuma, anafanya kazi usalama wa taifa, nilipomuuliza vipi uchaguzi, aliniambia hivi" uchaguzi ni mgumu sana mwaka huu ila kikwete atashinda kwa sababu kuna maafisa usalama 400 wamesambazwa katika vituo mbalimbali nchi nzima, akaendelea kuniambia kuwa kitu kinachowachanganya zaidi ni kuwa kuna vituo vingi sana, nikamuuliza tatizo liko wapi kuwa na vituo vingi, alisema hivi hao wanausalama 400 wanatakiwa wachakachue kura ili zisiwe na tofauti kubwa sana kituo na kituo yaani kuwe na uwiano fulani"
 
Mkuu,
ni kweli kabisa, nimefarijika kusikia jemedari wetu atazungumza kesho. Mungu akutangulie Dr Slaa! I adore you..

Mkuu,ni kweli kabisa, nimefarijika kusikia jemedari (JEMEDARI NI MMOJA TU ALIYEKABIDHIWA RIDHAA NA WAPIGA KURA KUONGOZA NCHI HII NAYE JK TU )wetu atazungumza kesho (TWASUBIRI KWA HAMU PUMBA ZAKE NA DATA FEKI) . Mungu akutangulie Dr Slaa (MWANANCHI WA KAWAIDA KAMA MIE ASIYE NA MANDATE YA KUONGOZA NCHI) ! I adore you.
 
Ya Ngoswe huwa namuachia Ngoswe, lakini mengine huwa nayajibu kama ningelikuwa mimi:

Nisingelimshtaki Dr. Slaa kwa sababu ningempa umaarufu, (na ndicho alichotafuta hapo) Namheshimu sana lakini wanaomzunguka wamempotosha sana, wamemdanganya sana, sababu ni kusema kwake tu Bungeni. hata sijui ilikuwaje mzee wetu wakamshawishi apoteze ubunge wake, naamini na nadhani ndio ukweli KUNA AGENDA YA SIRI DHIDI YA DK. SLAA NDANI YA CHADEMA. bado tunatazama :tape: hakika nawaambieni.. nimeanza kuona mbali sasa.. kwa maana kikao cha kumteua kuwa mgombea Urais kilifanyika Nairobi, hakuwa amejiandaa kwa hilo, ndio maana AKAMTAKA JUMA DUNI kuwa mgombea mwenza wake... Ingekuwaje hapo? Hao wanaosema CCM na CUF wameungana walilisahau hilo? pana ka-moshimoshi kanafuka hebu tusubirie.

AMANI TANZANIA
 
Dr slaa atafute umaarufu kwanani ? Hivi ninani asiye mfaham slaa mpaka aangaike kutafuta umaarufu? Nahic umelogwa na bibi yako!!
 
Umenena sahihi kabisa, kukataa kupitia kwenye vyombo vya habari si kwamba umesema ukweli!! Dr. Slaa alipowatuhumu akina lowasa, karamagi na wenzake walikanusha vikali jambo hilo kupitia vyombo vya habari, but at the end of the day ukweli ukajulikana kwamba Dr. Slaa alisema ukweli!! My suggestion sasa Silaa aanze mwenyewe kwenda mahakamani

Anayetakiwa kwenda Mahakamani ni usalama wa taifa, Lowasa, Riz1, Rostam pamoja na wenzake wote waliotajwa kwenye tuhuma zile.
Dr. Slaa ameshasema ukweli wake hana sababu ya kwenda mahakamani mpaka pale itakapobidi.
 
Mkuu,ni kweli kabisa, nimefarijika kusikia jemedari (JEMEDARI NI MMOJA TU ALIYEKABIDHIWA RIDHAA NA WAPIGA KURA KUONGOZA NCHI HII NAYE JK TU )wetu atazungumza kesho (TWASUBIRI KWA HAMU PUMBA ZAKE NA DATA FEKI) . Mungu akutangulie Dr Slaa (MWANANCHI WA KAWAIDA KAMA MIE ASIYE NA MANDATE YA KUONGOZA NCHI) ! I adore you.

Haisee umeingia tena huku, nilikuwa nimefarijika kuanzia mwanzo wachangiaji wametuma mada nzuri umekuja kuharibu!! Unaboa sana best.
 
Ya Ngoswe huwa namuachia Ngoswe, lakini mengine huwa nayajibu kama ningelikuwa mimi:

Nisingelimshtaki Dr. Slaa kwa sababu ningempa umaarufu, (na ndicho alichotafuta hapo) Namheshimu sana lakini wanaomzunguka wamempotosha sana, wamemdanganya sana, sababu ni kusema kwake tu Bungeni. hata sijui ilikuwaje mzee wetu wakamshawishi apoteze ubunge wake, naamini na nadhani ndio ukweli KUNA AGENDA YA SIRI DHIDI YA DK. SLAA NDANI YA CHADEMA. bado tunatazama :tape: hakika nawaambieni.. nimeanza kuona mbali sasa.. kwa maana kikao cha kumteua kuwa mgombea Urais kilifanyika Nairobi, hakuwa amejiandaa kwa hilo, ndio maana AKAMTAKA JUMA DUNI kuwa mgombea mwenza wake... Ingekuwaje hapo? Hao wanaosema CCM na CUF wameungana walilisahau hilo? pana ka-moshimoshi kanafuka hebu tusubirie.

AMANI TANZANIA

Kati ya watu huwa hawakosekanagi vichaa, au wajinga, wewe mojawapo.
 
mahakamani ndio kuna suluhisho la kila jambo. ila mahakama kama mojawapo ya chombo cha dola inaweza kuathiriwa na siasa. mimi kama mwanasiasa kijana napenda hata mahama yetu (ya tanzania) iwe critically examined
 
Ni hivi mimi pia nina ushahidi fulani, kuna jamaa yangu mmoja alikuwa pale Wilaya ya Handeni, Tanga akiwa ameajiriwa na NGO (sitaitaja jina) kama mhasibu. Baadae akaajiriwa Jeshini. Sasa siku mbili kabla ya uchaguzi akaja tena hapa Handeni, akasema amekuja kwa shughuli fulani ambayo hakuitaja jina ingawa huwa hatufichani jambo ila kwa hili alinificha. Na baada ya uchaguzi tu akapotea mazima, swali likawa alikuja kufanya nini huku?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom