Ndugu zangu! kwanza nawapeni pole, Hii forums imeingiliwa na wajanja tuwe makini sana. Soma kwanza kile alichotoa Invisible mwanzo na kile kilichopo sasa 1st: "Re: Uchakachuaji UPO! - NYARAKA HIZI HAPA" na 2nd: "Re: Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE". Unaona nini na unajifunza nini???? na kwanini Invisible hatoi majibu kwa hizi tofauti???. Kwa hiyo tuwe makini something is happening on this forums. Kunawatu wanataka kupotosha ukweli na kutaka kuwahadaa wana - JF.
Taarifa zilizo sahihi zinasema kila kituo kina wapiga kura "hewa" wapatao 200 zimethibitika. Ifuatayo ni baadhi tu ya wapiga kura hewa katika kituo cha:
Kituo: OFISI YA WEO 'A'
Mkoa: DAR ES SALAAM
Wilaya: MANISPAA YA ILALA
Kata: BUGURUNI
Hili ndilo jimbo analogombea Iddi Hassan Zungu wa CCM
Kadi za wapiga kura hao ni:
19272267, 19272271, 19272276, 19272283, 19272294, 19272303, 19272309, 19272311, 19272313
Ingia kwenye daftari la kudumu uthibitishe, The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage!
bado wagumu kuelewa....kwa kubadilisha title ya thread,amejivua liability lakini anafikisha ujumbe...ni kama kumsifia mtu kwamba si mwizi wakati unajua fika ni mwizi,so mleta thread amewazunguka wenye barua (kama wapo,na kama ni ya kweli)...ccm wanasalitiana,kikao cha jana usiku iringa kati ya ccm na polisi aliyevujisha nyeti kwa chadema ni ccm na polisi haohao..
Kweli hizo nyaraka na barua ni feki na hazina ukweli wowote zaidi ya kuonyesha woga walio nao baadhi ya watu ,Chadema msiogope kushindwa.
Kama hali ndio hii ni kazi, labda waangalizi waongeze mbinu za ziada. Mfano, mpiga kura anapoingia na kadi yake mmoja anahakiki kwenye daftari, mwingine anatuma namba kwa sms kucheck kwenye data base ya NEC kuona kama atapata taarifa zinazooana.Taarifa zilizo sahihi zinasema kila kituo kina wapiga kura "hewa" wapatao 200 zimethibitika. Ifuatayo ni baadhi tu ya wapiga kura hewa katika kituo cha:
Kituo: OFISI YA WEO 'A'
Mkoa: DAR ES SALAAM
Wilaya: MANISPAA YA ILALA
Kata: BUGURUNI
Hili ndilo jimbo analogombea Iddi Hassan Zungu wa CCM
Kadi za wapiga kura hao ni:
19272267, 19272271, 19272276, 19272283, 19272294, 19272303, 19272309, 19272311, 19272313
Ingia kwenye daftari la kudumu uthibitishe, The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage!
Mungu wangu,
BAN inanukia hapa. wacha nikimbie kabla sijakutukana