Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni

Bado tu unamtetea yule dictator?
 
Hao askali polisi watakufa masikini? Km uwezi shindana nao ungana nao.saiv wangekua wanakula mgao kimya kimya sasa icho kiherehere wana ambulia zero.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hii ya kutoboa mabomba ya mafuta na kuiba sio ngeni watoto wa Mexico mafia wa narcotics wanafanya Sana hii kitu huko hata Niger Delta Kule Nigeria hizi ishu za kawaida kabisa Tu ,ni jinsi Tu ya kujua Kula na kipofu
 
Hakuwa na lolote alikuwa mpigaji tu kama alitaka kupambana na ufisidi asingezuia vyombo vya habari vyenye akili nakuua mihimili minginr
 
Uzalendo haufindishwi uzalendo inatakiwa kuanzia kwa watawala huwezi kuniambia niwe mzalendo ikiwa mtawala anaua watu wake eti kwa vile wanampinga anakwiba rasilimali anajenga kwao ikiwa Kuna mtu hajui mwanae atarudije Shule kwa kukosa ADA
 
Ipo documentary yake, lakini na wao walikopi ilishatokea kitambo nadhani uingereza
 
Na hizi ndio deal za kushirikishana sio kubebeshana maunga nkafie gerezani china.
 
#SEREKALI IMEKAA KIMYAA HAKUNA TAMKO KALI WALA CHOCHOTE KINAENDELEA...It is really #funny.
 
Iliwezekanaje Kujulikana kuwa Shughuli hiyo Ina miaka miwili toka imeanza!!??
 
Alafu habari ile imetangazwa chanel 10 tu, chanel zingine sikuona naona wezi wametoa mlungula habari isitangazwe sehemu nyingine.
SIO KWELI. HII HABARI IMETANGAZWA NA CHANEL KARIBIA ZOTE.
 
Hii habari inaweza kuishia humu humu jf
Imeshaisha mkuu!

Na kuna makubwa zaidi yanakuja!

Enzi za kikwete itakuwa cha mtoto!

Watu wenyewe tupo busy kumsagia diamond sumu ila kwenye ishu nyeti kama hizi hamna kitu
 
Imeshaisha mkuu!

Na kuna makubwa zaidi yanakuja!

Enzi za kikwete itakuwa cha mtoto!

Watu wenyewe tupo busy kumsagia diamond sumu ila kwenye ishu nyeti kama hizi hamna kitu
Yule mkuu wa wilaya aite tena press atupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…