Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wangu, wengi viongozi wetu hua wanakosea sana kuna kipindi waziri flani alikua akiongea kuhusu mambo ya lami ikanibidi nishangae peke yanguKaka kuna kitu kinaitwa summary meeting/ briefing kabla kiongozi hajaenda eneo la tukio kwakuwa huko atakutana na vyombo vya habari na anaweza kuulizwa maswali.. Hivyo hizo meeting naye huwa huru kuuliza ili kupata uelewa wa jambo husika
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ni kibaka😃😃😃😃😃😃
Hawaandaliwi au hawajiandai...!Mkuu wangu, wengi viongozi wetu hua wanakosea sana kuna kipindi waziri flani alikua akiongea kuhusu mambo ya lami ikanibidi nishangae peke yangu
Vibaka na wezi wengi wakiwepo matapeli na wapigaji ni akili kubwa[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji3][emoji3][emoji3]We jamaa ni kibaka[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
SASA MZEE BASI UWE UNAPUNGUZA UHANAHARAKATI...UPIGAJI UPO DUNIA NZIMA NA MAFIA WAPO..SASA UNACHOFANYA NI UNASIFIA,UNAKASIRIKA WEWE HUKUEPO AU UNAJIANDAA KUPIGA TENA HUELEWEKI MANGI... CHANGAMOTO KUBWA YA KISASI HUUMIZA PANDE ZOTE MBILI HATA KAMA MZAZI WAKO ASHAWAHI FANYWA MBAYA NA HII SERIKALI KAMA ULIVYOJITANABAISHA...BASI JIFUNZE KUSAMEHE NA KUSOGEA MBELE..OR ELSE UTAKUA UNAJITENGENEZEA VITANZI VIWILI.... YANAKAMATWA MADAWA YA KULEVYA HADI TANI 1 HATA HAMSIFII MDA WOTE KULALAMA TUKuna stage 4. Tunaweza kujipanga though[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
SASA MZEE BASI UWE UNAPUNGUZA UHANAHARAKATI...UPIGAJI UPO DUNIA NZIMA NA MAFIA WAPO..SASA UNACHOFANYA NI UNASIFIA,UNAKASIRIKA WEWE HUKUEPO AU UNAJIANDAA KUPIGA TENA HUELEWEKI MANGI...[emoji848][emoji3064][emoji848][emoji3064][emoji848] SijakuelewaSASA MZEE BASI UWE UNAPUNGUZA UHANAHARAKATI...UPIGAJI UPO DUNIA NZIMA NA MAFIA WAPO..SASA UNACHOFANYA NI UNASIFIA,UNAKASIRIKA WEWE HUKUEPO AU UNAJIANDAA KUPIGA TENA HUELEWEKI MANGI... CHANGAMOTO KUBWA YA KISASI HUUMIZA PANDE ZOTE MBILI HATA KAMA MZAZI WAKO ASHAWAHI FANYWA MBAYA NA HII SERIKALI KAMA ULIVYOJITANABAISHA...BASI JIFUNZE KUSAMEHE NA KUSOGEA MBELE..OR ELSE UTAKUA UNAJITENGENEZEA VITANZI VIWILI.... YANAKAMATWA MADAWA YA KULEVYA HADI TANI 1 HATA HAMSIFII MDA WOTE KULALAMA TU
Ahsante sana mkuu kwa pongezi lakini kuna mengine nyuma ya pazia, nakuja pmHawaandaliwi au hawajiandai...!
Nje ya mada, hongera kwa ujenzi mzuri wa barabara Kimara Kibaha.. Mapungufu yapo lakini si kama yale niliyoainisha kwenye ile mada yetu.. Ujazo wa lami umenikosha na mkandarasi kajitahidi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu lakn pia inahtaj uwe na roho ya chuma maana kikilipuka jua lolote linaweza kukutokea ikiwezekana hata uhaiChaneli kama hizi huwezi kuzipata kama haupo kwenye CHAIN. Chaneli utakazisikia ni za forever living na wale wazee wa GOODMORNING!!
Na hapo ndipo penye tatizo kubwa mno. Wabongo ni sawa na Wachina tu. 😂😂Siyo kuwekeza utamuuzia nani mtaani unakuta walisha burn 😂😂
Actor ray kigosi! Labda twende spain tukamkodi "professor"Nilikuwa na wazo kama lako. Hii issue ikipata script writer mzuri na mtaji wa kutosha basi itakuwa bonge la movie.
Sasa n mbunge hukoYule jamaa ni very professional yaani movie mpaka inaisha unaiona
Money Heist bonge la series. Professor na akina, Nairobi, Tokyo, Rio, Denver, Berlin n.k,Actor ray kigosi! Labda twende spain tukamkodi "professor"
Nimecheka bureChaneli kama hizi huwezi kuzipata kama haupo kwenye CHAIN. Chaneli utakazisikia ni za forever living na wale wazee wa GOODMORNING!!
Ule ni mtandao wa mwendazake na kamanda mambo leo,na bashiteUmeandika maelezo meeengi sana lakini point muhimu iko moja tu, ''ukijua hivi wenzako wanajua vile na kinyume chake''
Mheshimiwa Rais alikuwa na nia nzuri sana kwa nchi yetu amejitahidi sana kudhibiti lakini kama alivyosema mwenyewe vita ya uchumi ni ngumu sana lazima ujitoe si kimataifa tu hata ndani ya nchi kulikuwa na vita ya kiuchumi yaani wapigaji walikuwa hawampendi na walijitahidi kutafuta viongozi ambao si waaminifu kutekeleza hujuma dhidi ya rais na juhudi zake sasa yeye kama yeye asingeweza kuzibiti kilaeneo wakati kuna wanaompinga katika vitahii wanataka waendelee kupiga.