Uchambuzi: Chama Jr ajifunze Kwa Mwamnyeto

naunga mkono hoja
 
Ihefu tulishampeleka yacuba mkuu
Hapa, unaonyesha kuwa wewe ni shabiki la utopolo. Lakini hapo juu, umejifanya wewe ni makolo! Hivyo, wewe ni popo
Hata hivyo, wewe ulifeli huko chuo kikuu, ukarudishwa sekondali! Utamfundishaje aliyeko chuo kikuu mbinu za kufaulu mtihani wa huko chuo kikuu? Kwa nini wewe haukuzitumia hizo mbinu, ili uendelee kuwepo huko?
 
Ahaaaaaa

Uwanja unatishaa
 
Kushinda mbili mshaanza kutupa ushauri wa hapa na pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…