Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulinganisha hiyo takataka Chama sijui Choma na Winger la kimataifa BNondo.Akili zao na ufanisi no tofauti kabisamtu anaitwa mwamnyeto,Sasa chama akajufunze nini pale
naunga mkono hojaJapo nafasi zao kiufundi haziendani lakin sio kigezo Cha mchezaji kushindwa kujifunza Kwa wengine
Chama ni miongoni mwa wachezaji wetu Bora ....ila Kuna vitu huyu mchezaji wetu anazingua ......
Mfano: Mechi yetu ya Wydadi Casablanca Chama alikuwa mzito wa kufanya maamuzi kiasi Kwamba anashindwa kufunga Kwa haraka au kuto assist ( Mr slow motion) ndio maana alifeli pale mjini Morocco
Nini kifanyike Ili kumtoa wydadi kwao
Chama afuatilie mechi nzima ya Yanga vs rivers then ajifunze jinsi ya kuwa faster kimaamuzi unavyokuwa na mpira
NB ajifunze Kwa Mwamnyeto.....huku kwenye mtoano hatuangalii sijui chenga Wala Nini .....tumia akili za fasta sanaView attachment 2598258
Inategemea umekariri mambo kwa kiasi gani bila kutafuta mambo mapya!chama anatakiwa fundishwa u shape wa assist japo tunajua ndio msha umaliza mwendo ila kujifunza muhimu
Mnavyolazimisha na kujilinganisha hadi mnaonekana vibweka.Kiujumla Wachezaji wote Simba wanatakiwa wajifunze kutoka Yanga
Na hata huyo Mnyeto akiona uzi huu atacheka sana na kumshangaa mtunzi.mtu anaitwa mwamnyeto,Sasa chama akajufunze nini pale
Ndivyo alivyo na ndiyo maana yupo Simba.Na wengine mpo mlipo.Yaaah ni kweli ....but tunazungumzia kufanya maamuzi ya fasta
Hapa, unaonyesha kuwa wewe ni shabiki la utopolo. Lakini hapo juu, umejifanya wewe ni makolo! Hivyo, wewe ni popoIhefu tulishampeleka yacuba mkuu
Alifikaje la saba? Na huyu unaetaka akamfundishe wa la saba si alifeli huku lasaba akarudiahwa la nneMtoto wa Drs la 7 hajui kusoma
AhaaaaaaJapo nafasi zao kiufundi haziendani lakin sio kigezo Cha mchezaji kushindwa kujifunza Kwa wengine
Chama ni miongoni mwa wachezaji wetu Bora ....ila Kuna vitu huyu mchezaji wetu anazingua ......
Mfano: Mechi yetu ya Wydadi Casablanca Chama alikuwa mzito wa kufanya maamuzi kiasi Kwamba anashindwa kufunga Kwa haraka au kuto assist ( Mr slow motion) ndio maana alifeli pale mjini Morocco
Nini kifanyike Ili kumtoa wydadi kwao
Chama afuatilie mechi nzima ya Yanga vs rivers then ajifunze jinsi ya kuwa faster kimaamuzi unavyokuwa na mpira
NB ajifunze Kwa Mwamnyeto.....huku kwenye mtoano hatuangalii sijui chenga Wala Nini .....tumia akili za fasta sanaView attachment 2598258
Kushinda mbili mshaanza kutupa ushauri wa hapa na pale?Japo nafasi zao kiufundi haziendani lakin sio kigezo Cha mchezaji kushindwa kujifunza Kwa wengine