Uchambuzi: Chama Jr ajifunze Kwa Mwamnyeto

Mkuu naomba uwelewe kile hasa ninachokilenga na kumaanisha. Sijaongea hivi kwa nia ya kumlinganisha na fulani au kwa nia ya kumkosoa bali kuboresha. Ninachoona hiko alichonacho sasa akiongezee ili Simba ijivunie ushindi mnono zaidi
 
Yaani Chama wa CAFCL ajifunze kutoka kwa Nyeto wa kombe la losers? Misukule mna matatizo vichwani mwenu
 
Chama, sawa na Morrison, ni mfano wa wachezaji wanaocheza sana na jukwaa na sio wachezaji wenye ubora wowote wa maana.
 
Ni kweli, Morocco hakudumu kule kwasababu ya kasi ya mpira wenye kuhitaji maamuzi ya haraka. Angemfikia kwa kasi kidogo tu Macquison "Nickson" Simba ingekuwa na matokeo mazuri zaidi ya haya tunayoyapata
Nadhani Morocco hawaeleweki Kwa sababu hata Kisinda mwenye Kasi naye yalimshinda.
 
Once uto , always uto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…