Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba uwelewe kile hasa ninachokilenga na kumaanisha. Sijaongea hivi kwa nia ya kumlinganisha na fulani au kwa nia ya kumkosoa bali kuboresha. Ninachoona hiko alichonacho sasa akiongezee ili Simba ijivunie ushindi mnono zaidiMchezaji yupi mwenye takwimu bora za magoli na assist Simba hadi sasa?
Kama ni huyohuyo Chama basi hatuna cha kukukosoa , hakuna mchezaji mwenye sifa za uchezaji za wachezaji wote labda Mungu mwenyewe.
Wewe unasema anachelewa kufanya maamuzi hao unaodai wanawahi kufanya maamuzi wamemzidi goals contributions?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nadhani Morocco hawaeleweki Kwa sababu hata Kisinda mwenye Kasi naye yalimshinda.Ni kweli, Morocco hakudumu kule kwasababu ya kasi ya mpira wenye kuhitaji maamuzi ya haraka. Angemfikia kwa kasi kidogo tu Macquison "Nickson" Simba ingekuwa na matokeo mazuri zaidi ya haya tunayoyapata
Mzee KIBUDENGA MKANDAJI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu Simba ni timu ya wazee
Once uto , always uto!Japo nafasi zao kiufundi haziendani lakin sio kigezo Cha mchezaji kushindwa kujifunza Kwa wengine
Chama ni miongoni mwa wachezaji wetu Bora ....ila Kuna vitu huyu mchezaji wetu anazingua ......
Mfano: Mechi yetu ya Wydadi Casablanca Chama alikuwa mzito wa kufanya maamuzi kiasi Kwamba anashindwa kufunga Kwa haraka au kuto assist ( Mr slow motion) ndio maana alifeli pale mjini Morocco
Nini kifanyike Ili kumtoa wydadi kwao
Chama afuatilie mechi nzima ya Yanga vs rivers then ajifunze jinsi ya kuwa faster kimaamuzi unavyokuwa na mpira
NB ajifunze Kwa Mwamnyeto.....huku kwenye mtoano hatuangalii sijui chenga Wala Nini .....tumia akili za fasta sanaView attachment 2598258