Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Japo nafasi zao kiufundi haziendani lakin sio kigezo Cha mchezaji kushindwa kujifunza Kwa wengine
Chama ni miongoni mwa wachezaji wetu Bora ....ila Kuna vitu huyu mchezaji wetu anazingua ......
Mfano: Mechi yetu ya Wydadi Casablanca Chama alikuwa mzito wa kufanya maamuzi kiasi Kwamba anashindwa kufunga Kwa haraka au kuto assist ( Mr slow motion) ndio maana alifeli pale mjini Morocco
Nini kifanyike Ili kumtoa wydadi kwao
Chama afuatilie mechi nzima ya Yanga vs rivers then ajifunze jinsi ya kuwa faster kimaamuzi unavyokuwa na mpira
NB ajifunze Kwa Mwamnyeto.....huku kwenye mtoano hatuangalii sijui chenga Wala Nini .....tumia akili za fasta sana