Uchambuzi: Hali ya Uwanja wa ndege wa Kimataifa Chato baada ya Magufuli kustaafu

Uzuri kipo Tanzania. Kila raisi angejenga uwanja kwao tungekuwa navyo vingapi? Ajira pia zingeongezeka. Magu apumzike kwa aman ila alifanya jambo sahihi kuliko izo hela kutafunwa kwenye vikao.
 
Dodoma, makao makuu ya nchi hamna uwanja wa ndege wa kimataifa lakini Chato upo!!!!! Mbaya zaidi kuna watu walitetea kwa nguvu zote.
 
wapashe hao nyumbu vibaraka wa mabeberu dawa iwaingie , uwanja huo umejengwa kimkakati, isitoshe pia Mgodi wa akabanga nickel utakapoanza vifaa vingi vya Mgodi vitashushwa hapo Chato na Transit cargo Vehicle ndo zitakazokua zinapokelea hapo mizigo hiyo straight to Ngara ambayo ki Geografia haiko mbali na Chato..mbali na hilo labda tukujuze abiria wanaotoka kanda hizo mfano ngara, Biharamulo nk itawarahisishia kufanya safari zao straight to Dar pia wana Geita kwa ujumla so huo ulimbukeni wa mtoa mada kuhusu uwanja wa Chato ajifikirie mara mbili mbili, na sio kubwatika kama shoga yao TUNDU LISU
 
Dodoma, makao makuu ya nchi hamna uwanja wa ndege wa kimataifa lakini Chato upo!!!!! Mbaya zaidi kuna watu walitetea kwa nguvu zote.
Dodoma soon tunaanza ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa ambao utaitwa MSALATO INTERNATIONAL AIRPORT upo apo we @ Lycaon
 
Mtalii gani ataenda brig na rubondo aache kwenda Serengeti na Ngorongoro. Unapoteza muda kutetea ujinga
 
Unapoteza sana valuable resources (muda). Logistically, hao Kabanga Nickel wanatumia sana uwanja wa Mwanza ambako kuna amenities zingine nyingi kuliko Chato. Chato itabaki uwanja wa kumbukumbu kwamba kulishawahi kuwa na raisi anatokea pande zile. Usisahau kwamba Kabanga Nickel wanapokuwa na ndege ndogo wanatua moja kwa moja Ngara airstrip, uwanja uliokuwa unatumiwa na UNHCR wakati wa wimbi la wakimbizi miaka ya 1990.
 
Nani kakwambia mgodi unahitaji kujengewa uwanja wa ndege wa kimataifa.GGM na Mwadui nazo zingejengewa international airports
 
Nani kakwambia mgodi unahitaji kujengewa uwanja wa ndege wa kimataifa.GGM na Mwadui nazo zingejengewa international airports
ishu ni kwamba ata mambo ya mining hujui chochote wacha tukuelimishe sisi ma TX
 

MATAGA bhna kwa kutetea ugali wenu
 
Gbadolite ya Tanzania haina tofauti na ile ya Congo wakati ule Zaire !!! Asante Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…