Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Unachelewa mkuuTuletee kanuni ya 31 uitafsiri.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachelewa mkuuTuletee kanuni ya 31 uitafsiri.
Simba sc: Mheshimiwa tuna video ya baunsa tunaileta kama ushahidi naomba upokelewe
Nachelewa wapi ilete kanuni hii ya 31 tuijadili tusitumie maneno yetu.
Chura mmoja na mwiko wake nyuma akijifariji kwa post ya kizezeta! Kweli kule ni wawili tu wenye akili timamu.HII KESI YA YANGA NA TFF ITAKAVYOKUWA KWENYE MAHAKAMA YA SOKA CAS.
Kwa utaalamu wangu wa Sheria kutoka chuo Bora MZUMBE UNIVERSITY ( Harvard of Africa)
CAS: Tumepokea malalamika kutoka Yanga SC dhidi yenu kwa kuailisha mechi kati ya Yanga Sc na Simba SC bila kufuata taratibu na kanuni zenu! Ebu tuambie ilikuaje?
TFF: Ni kweli tulifanya hivyo baada ya kupokea malalamiko kutoka Simba Sc kwamba walinyimwa haki yao ya kufanya mazoezi kwenye uwanja husika siku moja kabla.
YANGA SC: Iambie mahakama ni nani aliwanyima haki yao ya kufanya mazoezi?
TFF: Walisema ni Mabaunsa wa Yanga SC ndio waliwazuia kufanya mazoezi ya mwisho.
CAS: Hawa Mabaunsa ni akina nani kwenye club yenu?
YANGA SC: Hata sisi tunashangaa kutuhusisha sisi na Mabaunsa, maana katika muundo wa timu yetu hatuna waajiliwa wanaitwa Mabaunsa hata TFF wenyewe wanajua!
TFF: Sisi tuliambiwa na Simba SC kwamba tumezuiliwa na Mabaunsa wa Yanga SC sisi hatujui lolote kuhusu Mabaunsa.
YANGA SC: Je kanuni zetu zinasemaje kuhusu team mgeni kupata haki yake ya kufanya mazoezi siku moja kabla?
CAS: TFF jibu swali hilo!
TFF: Kanuni zetu zinasema timu mgeni inatakiwa iwasiliane na timu mwenyeji pamoja na kamisaa wa mchezo ili wapate kibali cha kuingia uwanjani.
CAS: Je Simba Sc walifanya hivyo?
TFF: Hapana hawakufanya hivyo walijiendea wenyewe tu bila kutoa taarifa.
CAS: Sasa hiyo haki wanayolilia ni ipi wakati hawakufuata utaratibu?
TFF: oooh! ooh! hata sisi tulipata kigugumizi kuamua jambo lao mwisho wa siku tukafanya busara tu.
CAS: Kulingana na kanuni zenu Simba Sc wapo sahihi kugoma kuingia uwanjani?
TFF: Hapana! Walitakiwa wacheze alafu baada ya mechi ndio suala lao lifanyiwe uchunguzi na kushughulikiwa kwa kuiadhibu timu mwenyeji kama wamehusika na kosa hilo.
YANGA SC: Iambie mahakama mliahilisha mechi kwa kutumia kanuni zipi?
TFF: Hakuna kanuni tuliyotumia bali tulitumia busara tu ili kuweka mambo sawa.
CAS: Mpira unaongozwa na kanuni hiyo busara imetoka wapi?
TFF: Ooh! ooh! hapo tulikosea!
CAS: Ni adhabu ipi inapewa timu inayogoma kuingia uwanjani?
TFF: Kupokwa points 15, faini
At the end Yanga atashinda View attachment 3267562
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sio lazima kwa timu isiyotaka. Lakini kwa inayotaka kufanya mazoezi, ukiizuia unakuwa umeanzisha fujo. Kila timu ina plan zake za training.Sio lazima kufanya mazoezi ya mwisho
Ilete mkuu...mm nimetingwa na kaziNachelewa wapi ilete kanuni hii ya 31 tuijadili tusitumie maneno yetu.
Una maanisha nn mkuuChura mmoja na mwiko wake nyuma akijifariji kwa post ya kizezeta! Kweli kule ni wawili tu wenye akili timamu.
Mbna Yanga huwa hawafanyi hayo matrainingSio lazima kwa timu isiyotaka. Lakini kwa inayotaka kufanya mazoezi, ukiizuia unakuwa umeanzisha fujo. Kila timu ina plan zake za training.
Ni sawa na kusema sio lazima kula daku saa kumi usiku. Sio lazima, lakini anayetaka asizuiwe, akizuiwa ni chanzo cha fujo, maana hujui plan zake za kuhimili swaumu
Inawezekana walikuwa hawajui kama huwa kuna kitu kama hichoMbna Yanga huwa hawafanyi hayo matraining
Wenye akili wanakudharau,ila utashangikiwa na wote isipokuwa wale wawiliHII KESI YA YANGA NA TFF ITAKAVYOKUWA KWENYE MAHAKAMA YA SOKA CAS.
Kwa utaalamu wangu wa Sheria kutoka chuo Bora MZUMBE UNIVERSITY ( Harvard of Africa)
CAS: Tumepokea malalamika kutoka Yanga SC dhidi yenu kwa kuailisha mechi kati ya Yanga Sc na Simba SC bila kufuata taratibu na kanuni zenu! Ebu tuambie ilikuaje?
TFF: Ni kweli tulifanya hivyo baada ya kupokea malalamiko kutoka Simba Sc kwamba walinyimwa haki yao ya kufanya mazoezi kwenye uwanja husika siku moja kabla.
YANGA SC: Iambie mahakama ni nani aliwanyima haki yao ya kufanya mazoezi?
TFF: Walisema ni Mabaunsa wa Yanga SC ndio waliwazuia kufanya mazoezi ya mwisho.
CAS: Hawa Mabaunsa ni akina nani kwenye club yenu?
YANGA SC: Hata sisi tunashangaa kutuhusisha sisi na Mabaunsa, maana katika muundo wa timu yetu hatuna waajiliwa wanaitwa Mabaunsa hata TFF wenyewe wanajua!
TFF: Sisi tuliambiwa na Simba SC kwamba tumezuiliwa na Mabaunsa wa Yanga SC sisi hatujui lolote kuhusu Mabaunsa.
YANGA SC: Je kanuni zetu zinasemaje kuhusu team mgeni kupata haki yake ya kufanya mazoezi siku moja kabla?
CAS: TFF jibu swali hilo!
TFF: Kanuni zetu zinasema timu mgeni inatakiwa iwasiliane na timu mwenyeji pamoja na kamisaa wa mchezo ili wapate kibali cha kuingia uwanjani.
CAS: Je Simba Sc walifanya hivyo?
TFF: Hapana hawakufanya hivyo walijiendea wenyewe tu bila kutoa taarifa.
CAS: Sasa hiyo haki wanayolilia ni ipi wakati hawakufuata utaratibu?
TFF: oooh! ooh! hata sisi tulipata kigugumizi kuamua jambo lao mwisho wa siku tukafanya busara tu.
CAS: Kulingana na kanuni zenu Simba Sc wapo sahihi kugoma kuingia uwanjani?
TFF: Hapana! Walitakiwa wacheze alafu baada ya mechi ndio suala lao lifanyiwe uchunguzi na kushughulikiwa kwa kuiadhibu timu mwenyeji kama wamehusika na kosa hilo.
YANGA SC: Iambie mahakama mliahilisha mechi kwa kutumia kanuni zipi?
TFF: Hakuna kanuni tuliyotumia bali tulitumia busara tu ili kuweka mambo sawa.
CAS: Mpira unaongozwa na kanuni hiyo busara imetoka wapi?
TFF: Ooh! ooh! hapo tulikosea!
CAS: Ni adhabu ipi inapewa timu inayogoma kuingia uwanjani?
TFF: Kupokwa points 15, faini
At the end Yanga atashinda View attachment 3267562
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Jaji : TFF hebu eleza kuhusu mfumo wa ulinzi na Usalama katika viwanja vya mpira wa Miguu Tanzania. Je, hawa Mabausa ndio wenye dhamana hiyo au? Na iwapo wana nguvu kisheria.TFF: Hii hapa kauli ya mwanasheria wa Yanga kuonyesha ni kweli waliwazuia Simba kufanya mazoezi kwa kusema eti nao pia walizuiwa katika mechi ya kwanza
View attachment 3267666
Mnajua ujinga Simba mlioufanya kwa kushirikiana na Tff halafu mnakomaaaaaaa .Wenye akili wanakudharau,ila utashangikiwa na wote isipokuwa wale wawili
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Saiz itakuwa tofautiKizuri ni kuwa hamjawahi kushinda kesi yoyote huko CAS
Hapana... yawezekana Yanga wanajiamini sanaInawezekana walikuwa hawajui kama huwa kuna kitu kama hicho
Wapi mkuWenye akili wanakudharau,ila utashangikiwa na wote isipokuwa wale wawili
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Case closedJaji : TFF hebu eleza kuhusu mfumo wa ulinzi na Usalama katika viwanja vya mpira wa Miguu Tanzania. Je, hawa Mabausa ndio wenye dhamana hiyo au? Na iwapo wana nguvu kisheria.
TFF : Hawa mabausa ni wa Yanga
Jaji : Ooh, kwahiyo hao mabaunsa wanatambulika na TFF
TFF : aaah, huwa wapo tu, wanaonekanaga sana Yanga wakicheza.
Jaji : jukumu la ulinzi na usalama ni la nani
TFF : ni la uongozi wa uwanja na serikali
Jaji : Ndio hao Mabaunsa au
Tff : Hapana
Jaji : kwa hiyo siku hiyo hapakuwa na walinzi wa Serikali/Uwanja
Tff : Ulinzi upo , sema tu bahati mbaya Simba ilisahau kutoa taarifa.
Ukweli upo wazi[emoji23]Mnajua ujinga Simba mlioufanya kwa kushirikiana na Tff halafu mnakomaaaaaaa .
Kimsingi Simba baada ya kuona atafungwa goli nyingi akaona bora asiingize timu uwanjani, akaona atengeneze scenario itakayowaaminisha watu , pili akaona ili kuepuka rungu la Tff la kunyang'anywa points ni bora achonge dili na Tff ili game iahirishwe. Na ndicho kilichofanyika hicho.
Sema ninawasifu Simba wanajua sana Propaganda. Mashabiki wa Simba wakiamua kutetea hoja ya uongo wanaitetea kwa nguvu zote , yaani wakiamua kusema mbuzi ni nguruwe hakika watasimamia hivyohivyo. Pia Wachambuzi wengi wa Mchongo kwa asilimia kubwa wanasaidia ku propagate issue ya Simba .