Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #61
Soma ... kipoH
Hiyo kanuni ya timu ngeni kumtaarifu timu mwenyeji, kamisaa na meneja wa uwanja ni kifungu cha ngapi?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma ... kipoH
Hiyo kanuni ya timu ngeni kumtaarifu timu mwenyeji, kamisaa na meneja wa uwanja ni kifungu cha ngapi?
Nipo deep sana kwenye sheriaKama ww ndo mwanasheria hakika mtaendelea kubutuliwa kila cku
Nakuona mjanja wa kidimbwi. Vikao vya ukoo havifanyiki bila wewe kuwepo. Yaani wewe ndio think tank wa ukoo . Lazima tukuheshimu humuAlisikika utopwinyo mmoja kutoka gezaulole
Barua ya kutocheza haizuii mechi kuwepo kama FA ikiamua iwepo. Huko Egypt wale Al Ahly waliandika barua na hawakutengua, na bado FA haikuahirisha na ikapeleka match officials wakafanye kazi uwanjani na timu itakayofika.CAS: Wewe Simba sc uliandika barua kuwa hutaenda kucheza . Je unayo barua iliyotangua barua hii niliyo nayo mkononi ya kusema huendi kucheza?
Simba Sc: Kimyaaaaaa
CAS: Kwahiyo timu iliyofika inastahili haki zake zote na nyie simba kutofika mnastahili kanuni zitekelezwe kwenu?Barua ya kutocheza haizuii mechi kuwepo kama FA ikiamua iwepo. Huko Egypt wale Al Ahly waliandika barua na hawakutengua, na bado FA haikuahirisha na ikapeleka match officials wakafanye kazi uwanjani na timu itakayofika.
TFF: Haki kwa ratiba waliyopewa na nani?CAS: Kwahiyo timu iliyofika inastahili haki zake zote na nyie simba kutofika mnastahili kanuni zitekelezwe kwenu?
CAS: mmetumia kanuni ipi kughairisha ratiba ya mchezo?TFF: Haki kwa ratiba waliyopewa na nani?
CAS: (kicheko) 😀 😀 😀
YANGA; Mh naomba TFF aseme kama alikuwepo kwenye Pre meeting na akatae kuwa Simba kuwa simba alikuba kuja kwenye mchezoTFF: Haki kwa ratiba waliyopewa na nani?
CAS: (kicheko) 😀 😀 😀
TFF: Tumetumia kanuni ya 34-(1.3) na 34-(2) zinazoipa Bodi mamlaka ya kuahirishaCAS: mmetumia kanuni ipi kughairisha ratiba ya mchezo?
CAS: Kama ni Simba kwanini wewe uliahirisha mchezo kwa kanuni ipi?
Kiwango cha ujinga uko nacho is beyond repairHII KESI YA YANGA NA TFF ITAKAVYOKUWA KWENYE MAHAKAMA YA SOKA CAS.
Kwa utaalamu wangu wa Sheria kutoka chuo Bora MZUMBE UNIVERSITY ( Harvard of Africa)
CAS: Tumepokea malalamika kutoka Yanga SC dhidi yenu kwa kuailisha mechi kati ya Yanga Sc na Simba SC bila kufuata taratibu na kanuni zenu! Ebu tuambie ilikuaje?
TFF: Ni kweli tulifanya hivyo baada ya kupokea malalamiko kutoka Simba Sc kwamba walinyimwa haki yao ya kufanya mazoezi kwenye uwanja husika siku moja kabla.
YANGA SC: Iambie mahakama ni nani aliwanyima haki yao ya kufanya mazoezi?
TFF: Walisema ni Mabaunsa wa Yanga SC ndio waliwazuia kufanya mazoezi ya mwisho.
CAS: Hawa Mabaunsa ni akina nani kwenye club yenu?
YANGA SC: Hata sisi tunashangaa kutuhusisha sisi na Mabaunsa, maana katika muundo wa timu yetu hatuna waajiliwa wanaitwa Mabaunsa hata TFF wenyewe wanajua!
TFF: Sisi tuliambiwa na Simba SC kwamba tumezuiliwa na Mabaunsa wa Yanga SC sisi hatujui lolote kuhusu Mabaunsa.
YANGA SC: Je kanuni zetu zinasemaje kuhusu team mgeni kupata haki yake ya kufanya mazoezi siku moja kabla?
CAS: TFF jibu swali hilo!
TFF: Kanuni zetu zinasema timu mgeni inatakiwa iwasiliane na timu mwenyeji pamoja na kamisaa wa mchezo ili wapate kibali cha kuingia uwanjani.
CAS: Je Simba Sc walifanya hivyo?
TFF: Hapana hawakufanya hivyo walijiendea wenyewe tu bila kutoa taarifa.
CAS: Sasa hiyo haki wanayolilia ni ipi wakati hawakufuata utaratibu?
TFF: oooh! ooh! hata sisi tulipata kigugumizi kuamua jambo lao mwisho wa siku tukafanya busara tu.
CAS: Kulingana na kanuni zenu Simba Sc wapo sahihi kugoma kuingia uwanjani?
TFF: Hapana! Walitakiwa wacheze alafu baada ya mechi ndio suala lao lifanyiwe uchunguzi na kushughulikiwa kwa kuiadhibu timu mwenyeji kama wamehusika na kosa hilo.
YANGA SC: Iambie mahakama mliahilisha mechi kwa kutumia kanuni zipi?
TFF: Hakuna kanuni tuliyotumia bali tulitumia busara tu ili kuweka mambo sawa.
CAS: Mpira unaongozwa na kanuni hiyo busara imetoka wapi?
TFF: Ooh! ooh! hapo tulikosea!
CAS: Ni adhabu ipi inapewa timu inayogoma kuingia uwanjani?
TFF: Kupokwa points 15, faini
At the end Yanga atashinda View attachment 3267562
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
CAS: KifunguTFF: Tumetumia kanuni ya 34-(1.3) na 34-(2) zinazoipa Bodi mamlaka ya kuahirisha
CAS: Sawa. Hizo kanuni klabu ya Yanga inazo?
TFF: Ndiyo inazo, na kila klabu ilishiriki kuzitunga kwani klabu zote za ligi kuu na zilizopanda daraj msimu husika zina wajumbe katika Bodi ambao ni wawakilishi wao.
CAS: Kwa Yanga, mjumbe wao ni nani?
TFF: Ni rais wa klabu yao, yaani Hersi
CAS: Ninyi Yanga, rais wenu aliwapa hizo kanuni?
Yanga: Tunaomba dakika chache tumtumie meseji hapo nje, tumuulize, maana yupo jimboni Kongwa
View attachment 3268792
TFF: Hakuna mahali ambapo nimesema nilitumia hivyo vifungu.CAS: Kifungu
1.1 na 1.2) Je timu yenu ya taifa au kuna klabu ilikuwa na mchezo wa kimataifa hadi kupelekea kuahirisha mechi?
Kwa kiwango hiki ...nmesomewasaidia maprofessors wengKiwango cha ujinga uko nacho is beyond repair
CAS: Sasa ileleze mahakama hii ni kifungu kipi kati hivyo. Je kulitokea janga? Kisome hicho kifungu
Sishangai maana hata Kitenge Maulidi naye kajipachika PhD 😂Kwa utaalamu wangu wa Sheria kutoka chuo Bora MZUMBE UNIVERSITY ( Harvard of Africa)
Hili swali limeshaulizwa na kujibiwa mara tatu. Muwe na utaratibu wa kupitia post za nyumaCAS: Sasa ileleze mahakama hii ni kifungu kipi kati hivyo. Je kulitokea janga? Kisome hicho kifungu
Ahsante kwa kumjibu moja kwa moja, nilitaka aanze na 31 ajue kuwa ipo nafasi ya kutofika uwanja kama kuna sababu ya msingi inayokubalika kikanuni na TFF au bodi . Nashukuru sasa umeamua kumaliza kabisa sijui kama atarudi.Ni 31 au 34?
Bodi ilitumia 34(1.3)
KANUNI 34: KUAHIRISHA MCHEZO.
Mchezo unaweza kuahirishwa kutokana na sababu yoyote kati yazifuatazo:
1.1. Endapo timu ya Taifa ina mchezo.
1.2. Endapo timu inashiriki katika mashindano ya Kimataifa na ina muda usiozidi siku tatu (3) kufikia mchezo wa Kimataifa.
1.3. Sababu ya dharura au/na yenye msingi itakayokubaliwa na TFF.
1.4. Endapo itatokea matukio yalio nje ya uwezo wa binadamu (force
majure) yasiyotarajiwa wala kusababishwa na timu husika.
1.5 Endapo wachezaji wasiopungua watatu (3) wa klabu moja wataitwa kushiriki mchezo wa timu ya Taifa.
Bodi ya Ligi ilitumia kanuni ya 34(1.3) ambayo inazungumzia sababu ya dharura yenye msingi itakayokubaliwa na TFF.
Hakuna kifungu kimesomwa wala wewe uliyeweka kanuni hujasema kifungu chochote . Hapo vipi vingu 1:1 hadi 1:5 sasa unanukuu kifungu kipi. Nilikiwa nakisubiri unukuu kifungu 1:3[ sababu ya dharula au ya msingi ....] hii kwa maana nyingine inakuwa justiyable JE SABABU ZA MSINGI NI ZIPI? ELEZEA kuna DHARULA? ndio ujue kuwa kesi hii haipi ushindi Simba hata kidogo. Maana makosa ya TFf kupitia bodi si kigezo cha Yanga kukosa haki.Hili swali limeshaulizwa na kujibiwa mara tatu. Muwe na utaratibu wa kupitia post za nyuma
Kwani Simba ina kesi gani?... ndio ujue kuwa kesi hii haipi ushindi Simba hata kidogo.