Uchambuzi: Hivi ndivyo kesi ya Yanga na TFF itavyokuwa huko CAS

Chura mmoja na mwiko wake nyuma akijifariji kwa post ya kizezeta! Kweli kule ni wawili tu wenye akili timamu.
 
Sio lazima kufanya mazoezi ya mwisho
Sio lazima kwa timu isiyotaka. Lakini kwa inayotaka kufanya mazoezi, ukiizuia unakuwa umeanzisha fujo. Kila timu ina plan zake za training.

Ni sawa na kusema sio lazima kula daku saa kumi usiku. Sio lazima, lakini anayetaka asizuiwe, akizuiwa ni chanzo cha fujo, maana hujui plan zake za kuhimili swaumu
 
Mbna Yanga huwa hawafanyi hayo matraining

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wenye akili wanakudharau,ila utashangikiwa na wote isipokuwa wale wawili

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
TFF: Hii hapa kauli ya mwanasheria wa Yanga kuonyesha ni kweli waliwazuia Simba kufanya mazoezi kwa kusema eti nao pia walizuiwa katika mechi ya kwanza

View attachment 3267666
Jaji : TFF hebu eleza kuhusu mfumo wa ulinzi na Usalama katika viwanja vya mpira wa Miguu Tanzania. Je, hawa Mabausa ndio wenye dhamana hiyo au? Na iwapo wana nguvu kisheria.

TFF : Hawa mabausa ni wa Yanga

Jaji : Ooh, kwahiyo hao mabaunsa wanatambulika na TFF

TFF : aaah, huwa wapo tu, wanaonekanaga sana Yanga wakicheza.

Jaji : jukumu la ulinzi na usalama ni la nani

TFF : ni la uongozi wa uwanja na serikali

Jaji : Ndio hao Mabaunsa au

Tff : Hapana

Jaji : kwa hiyo siku hiyo hapakuwa na walinzi wa Serikali/Uwanja

Tff : Ulinzi upo , sema tu bahati mbaya Simba ilisahau kutoa taarifa.
 
Wenye akili wanakudharau,ila utashangikiwa na wote isipokuwa wale wawili

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mnajua ujinga Simba mlioufanya kwa kushirikiana na Tff halafu mnakomaaaaaaa .

Kimsingi Simba baada ya kuona atafungwa goli nyingi akaona bora asiingize timu uwanjani, akaona atengeneze scenario itakayowaaminisha watu , pili akaona ili kuepuka rungu la Tff la kunyang'anywa points ni bora achonge dili na Tff ili game iahirishwe. Na ndicho kilichofanyika hicho.

Sema ninawasifu Simba wanajua sana Propaganda. Mashabiki wa Simba wakiamua kutetea hoja ya uongo wanaitetea kwa nguvu zote , yaani wakiamua kusema mbuzi ni nguruwe hakika watasimamia hivyohivyo. Pia Wachambuzi wengi wa Mchongo kwa asilimia kubwa wanasaidia ku propagate issue ya Simba .
 
Mkuu, simba na TFF hawana mahali watajificha

Nakupongeza sana mkuu, umeandika na kuchambua vema sana
 
Case closed

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ukweli upo wazi[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…