Uchambuzi: Hivi ndivyo kesi ya Yanga na TFF itavyokuwa huko CAS

Hakuna mtu aliyesoma mzumbe ana akili mbovu kama za kwako. Wewe nachelea kuamini kua umesoma ..siamini..tena unatumia tecno..[emoji23] hata neno ignorant halikukai , labda stupidity..
Punguza jasba Mkuu
 
CAF: kwenye katiba ya YANGA mabaunsa wako kifungu gani?
Simba sc: hata yule mzee wa aliyewa wana watu hayuko kwenye katiba lkn hutangulia mbele ya timu na kuwatemea mate waanze mpira
 
Tuletee kanuni ya 31 uitafsiri.
Ni 31 au 34?
Bodi ilitumia 34(1.3)

KANUNI 34: KUAHIRISHA MCHEZO.

Mchezo unaweza kuahirishwa kutokana na sababu yoyote kati yazifuatazo:

1.1. Endapo timu ya Taifa ina mchezo.

1.2. Endapo timu inashiriki katika mashindano ya Kimataifa na ina muda usiozidi siku tatu (3) kufikia mchezo wa Kimataifa.

1.3. Sababu ya dharura au/na yenye msingi itakayokubaliwa na TFF.

1.4. Endapo itatokea matukio yalio nje ya uwezo wa binadamu (force
majure) yasiyotarajiwa wala kusababishwa na timu husika.

1.5 Endapo wachezaji wasiopungua watatu (3) wa klabu moja wataitwa kushiriki mchezo wa timu ya Taifa.

Bodi ya Ligi ilitumia kanuni ya 34(1.3) ambayo inazungumzia sababu ya dharura yenye msingi itakayokubaliwa na TFF.
 
Kama ww ndo mwanasheria hakika mtaendelea kubutuliwa kila cku
 
Hakuna mtu aliyesoma mzumbe ana akili mbovu kama za kwako. Wewe nachelea kuamini kua umesoma ..siamini..tena unatumia tecno..[emoji23] hata neno ignorant halikukai , labda stupidity..
Hakika
 
Hakuna mtu aliyesoma mzumbe ana akili mbovu kama za kwako. Wewe nachelea kuamini kua umesoma ..siamini..tena unatumia tecno..[emoji23] hata neno ignorant halikukai , labda stupidity..
Hii ni product ya Zoom College
 
Alisikika utopwinyo mmoja kutoka gezaulole
 
H
Hiyo kanuni ya timu ngeni kumtaarifu timu mwenyeji, kamisaa na meneja wa uwanja ni kifungu cha ngapi?
 
Utopolo wakitaka washinde hiyo kesi labda wamtumie benarld morrisson ili awe wakili wao kwenye hiyo kesi yao kwani hao utopolo hawajawahi shinda kesi yeyote huko cas pia hao utopolokwinho inabidi wajiulize kuwa hivi neno ubaya ubwela lina maana ipi hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…