Uchambuzi: Hivi ndivyo kesi ya Yanga na TFF itavyokuwa huko CAS

CAS: Wewe Simba sc uliandika barua kuwa hutaenda kucheza . Je unayo barua iliyotangua barua hii niliyo nayo mkononi ya kusema huendi kucheza?

Simba Sc: Kimyaaaaaa
Barua ya kutocheza haizuii mechi kuwepo kama FA ikiamua iwepo. Huko Egypt wale Al Ahly waliandika barua na hawakutengua, na bado FA haikuahirisha na ikapeleka match officials wakafanye kazi uwanjani na timu itakayofika.
 
Barua ya kutocheza haizuii mechi kuwepo kama FA ikiamua iwepo. Huko Egypt wale Al Ahly waliandika barua na hawakutengua, na bado FA haikuahirisha na ikapeleka match officials wakafanye kazi uwanjani na timu itakayofika.
CAS: Kwahiyo timu iliyofika inastahili haki zake zote na nyie simba kutofika mnastahili kanuni zitekelezwe kwenu?
 
CAS: Kwahiyo timu iliyofika inastahili haki zake zote na nyie simba kutofika mnastahili kanuni zitekelezwe kwenu?
TFF: Haki kwa ratiba waliyopewa na nani?
CAS: (kicheko) 😀 😀 😀
 
TFF: Haki kwa ratiba waliyopewa na nani?
CAS: (kicheko) 😀 😀 😀
YANGA; Mh naomba TFF aseme kama alikuwepo kwenye Pre meeting na akatae kuwa Simba kuwa simba alikuba kuja kwenye mchezo
TFF: Aaah aa mmmh mmh
CAS; Jibu swali
TFF: Nilikuwepo hapokuwepo na pingamizi la kucheza
YANGA: Barua yako ya kuarisha uliandika baada ya barua ya simba na uliinukuu ili kuarisha . Ni kweli?
TFF; Ni kweli
YANGA: Bodi ya Ligi ilisema haikupewe taarifa kuwa simba wanakuja kufanya mazoezi
TFF: Ni kweli
CAS: Wewe na Simba nani hakufuta kanuni za kufanya mazoezi?
TFF: Simba sc
CAS: Kama ni Simba kwanini wewe uliahirisha mchezo kwa kanuni ipi?
TFF: Tulitumia HEKIMA sio kanuni
Mahakama yote: 😂😂😂😂
 
CAS: mmetumia kanuni ipi kughairisha ratiba ya mchezo?
TFF: Tumetumia kanuni ya 34-(1.3) na 34-(2) zinazoipa Bodi mamlaka ya kuahirisha
CAS: Sawa. Hizo kanuni klabu ya Yanga inazo?
TFF: Ndiyo inazo, na kila klabu ilishiriki kuzitunga kwani klabu zote za ligi kuu na zilizopanda daraj msimu husika zina wajumbe katika Bodi ambao ni wawakilishi wao.
CAS: Kwa Yanga, mjumbe wao ni nani?
TFF: Ni rais wa klabu yao, yaani Hersi
CAS: Ninyi Yanga, rais wenu aliwapa hizo kanuni?
Yanga: Tunaomba dakika chache tumtumie meseji hapo nje, tumuulize, maana yupo jimboni Kongwa

 
Kiwango cha ujinga uko nacho is beyond repair
 
CAS: Kifungu
1.1 na 1.2) Je timu yenu ya taifa au kuna klabu ilikuwa na mchezo wa kimataifa hadi kupelekea kuahirisha mechi?
Na kipengele namba 1.3 inasema kuwa kama kuna sababu ya dharura au sababu ya msingi, je unaweza kuielezea mahakama ya mchezo ni zipi hizo sababu ambazo mliona zinastahili kuahirisha mchezo?
 
CAS: Kifungu
1.1 na 1.2) Je timu yenu ya taifa au kuna klabu ilikuwa na mchezo wa kimataifa hadi kupelekea kuahirisha mechi?
TFF: Hakuna mahali ambapo nimesema nilitumia hivyo vifungu.
By the way, CAS ni mahakama, na mahakama yoyote huwa haiulizi maswali bali huwa inasikiliza hoja kutoka upande wa mashtaka na upande wa utetezi. Tunajua Yanga hawana mwanasheria mzuri, lakini alitakiwa yeye ndio awe anatuhoji hivyo hivyo na upungufu wake. CAS inatakiwa ione kama kuna hoja au la kutokana na maswali yake sambamba na majibu yetu
 
CAS: Sasa ileleze mahakama hii ni kifungu kipi kati hivyo. Je kulitokea janga? Kisome hicho kifungu
Hili swali limeshaulizwa na kujibiwa mara tatu. Muwe na utaratibu wa kupitia post za nyuma
 
A
Ahsante kwa kumjibu moja kwa moja, nilitaka aanze na 31 ajue kuwa ipo nafasi ya kutofika uwanja kama kuna sababu ya msingi inayokubalika kikanuni na TFF au bodi . Nashukuru sasa umeamua kumaliza kabisa sijui kama atarudi.
 
Hili swali limeshaulizwa na kujibiwa mara tatu. Muwe na utaratibu wa kupitia post za nyuma
Hakuna kifungu kimesomwa wala wewe uliyeweka kanuni hujasema kifungu chochote . Hapo vipi vingu 1:1 hadi 1:5 sasa unanukuu kifungu kipi. Nilikiwa nakisubiri unukuu kifungu 1:3[ sababu ya dharula au ya msingi ....] hii kwa maana nyingine inakuwa justiyable JE SABABU ZA MSINGI NI ZIPI? ELEZEA kuna DHARULA? ndio ujue kuwa kesi hii haipi ushindi Simba hata kidogo. Maana makosa ya TFf kupitia bodi si kigezo cha Yanga kukosa haki.
Labda na sheria kama zinategemea benchi la ufundi au bahasha njena hapo
CAS: Case dismissied. Ushindi ni kwa Yanga.
NB. TFF anatakiwa kufunguliwa kesi na wadau wengi wa soko kwa kiwasabishia hasara, usumbufu n.k maana hakuna sababu ya msingi ya kikanuni ambayo kwa kutumia barua ya Simba sc , ambao wanakiri hawakuwapa taarifa ya kuleta timu mazezini ili mipango ya kuandaa uwanja na mengineyo yafanywe ili wafanya waahirishe mechi wwakinukuui barua ya simba. Kanuni iliyotumika ni HEKIMA. Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…