Hujui mpira nyamaza.We Timu Bolu possession 20% kwa 80% , mmeshikilia bomba Mwanzo Mwisho mkiwa Kwenu.... Huyu atakukosa vipi ukienda Kwake?
Asec Mimosa alishikilia bomba ,Lkn alikuwa ugenini..! Msipende kujicompare nyie Utopolo..!
mpira ni mchezo wa makosa wa dk90, anaweza kosea yeyote kati ya wanaocheza, na aliekua makini miongoni mwao akashinda mchezo 🐒0.0%posibility
Lkn Simba mara nyingi hatoboi Kwa waarabuWe Timu Bolu possession 20% kwa 80% , mmeshikilia bomba Mwanzo Mwisho mkiwa Kwenu.... Huyu atakukosa vipi ukienda Kwake?
Asec Mimosa alishikilia bomba ,Lkn alikuwa ugenini..! Msipende kujicompare nyie Utopolo..!
Sawa mkuu hatutakiwi kukata tamaa....lkn Kuna baadhi ya mambo ni impossibleKatika sifa za kiume ni lazima uwe na moyo wa kutokukata tamaa ktk changamoto zozote za maisha..
King lion never give up.
Simba atashinda 2--0 .
Save my comment.
Impossible ni kulitoa jua magharibi na kuzama mashariki,Sawa mkuu hatutakiwi kukata tamaa....lkn Kuna baadhi ya mambo ni impossible
Watalishwa vyuma vikaliKwisha habari yao[emoji23]
Yanga ndo walikuwa kwenye zoezi.... that's y waliwapumzisha key playersMamelod hapa walikuwa wanafanya mazoezi, ndio maana ni kama Walikuwa na Dharau Fulani kwa Forward za Yanga..
Mziki mnene utakuwa South...
Utopolo jiandaeni....
Kwea pipa uende sauzi kushuhudia kuzaliwa kwa Mwakarobo jr huko PretoriaKuna project naifanya mkuu....sina muda ....pia ukitaka nikuajiri nitumie cv yako
Ukikua utaacha ubwatukaji na kuongea facts.Ukikua ukawa mkubwa utaacha comparison Za Kitoto...!
Sawa mkuu,Uje unidai pesa
Wanaogopa hata mpira usifike kati make wanajua kitakachowakutaIla hao mabeki na kipa wao sind wanawachuliaje washambuliaji walevi wa 🐸🐸