Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

We Timu Bolu possession 20% kwa 80% , mmeshikilia bomba Mwanzo Mwisho mkiwa Kwenu.... Huyu atakukosa vipi ukienda Kwake?

Asec Mimosa alishikilia bomba ,Lkn alikuwa ugenini..! Msipende kujicompare nyie Utopolo..!
Hujui mpira nyamaza.
Yanga ilicheza conventional.
Yanga ilikua na shot on target nyingi na Yanga alifika golini kwa mamelody mara nyingi.
Bimaana Mamelody possess yake ilikua ni pasi tu.
Alichofanya Yanga ni kama Chelsea dhidi ya barcelona.
Chelsea ilimtoa uefa barcelona kwa kumfunga goli mbili huku posession ilikua 20% kwa 80%.
Je hapo unasemaje???
Hujui mpira kaa kimya.
 
Katika sifa za kiume ni lazima uwe na moyo wa kutokukata tamaa ktk changamoto zozote za maisha..
King lion never give up.

Simba atashinda 2--0 .

Save my comment.
Sawa mkuu hatutakiwi kukata tamaa....lkn Kuna baadhi ya mambo ni impossible
 
Mamelod hapa walikuwa wanafanya mazoezi, ndio maana ni kama Walikuwa na Dharau Fulani kwa Forward za Yanga..

Mziki mnene utakuwa South...

Utopolo jiandaeni....
Yanga ndo walikuwa kwenye zoezi.... that's y waliwapumzisha key players
 
Back
Top Bottom