Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Humu inabidi kutumia tafsida vinginevyo utaingia mikononi mwa wageniNimekuelewa mkuu.Tatizo npo pub😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu inabidi kutumia tafsida vinginevyo utaingia mikononi mwa wageniNimekuelewa mkuu.Tatizo npo pub😂
Kabisa 🙆Humu inabidi kutumia tafsida vinginevyo utaingia mikononi mwa wageni
Hapo sasa,hao ndio wazee wa pwani,unafiki unafiki tu.Sasa kwa nini hakumshauri mwendazake jiwe kuacha kuwasema vibaya majikwaani viongozi waliostaafu na kila siku kazi yake ilikuwa kusema nchi imeliwa sana wengine hawajafanya anayofanya yeye?
Instead aliishia kusema aongezewe muda, hiki kizee bado kinanichefua sana